Haya Matukio yananifanya niwe na Wasiwasi zaidi na 'Professionals' walioko nchini kwangu Tanzania

Haya Matukio yananifanya niwe na Wasiwasi zaidi na 'Professionals' walioko nchini kwangu Tanzania

Tunahitaji mabadiliko makubwa nchi hii. La ajabu wanaokuwa viongozi ni wale wapuuzi wasio na weledi wala elimu. Wenye elimu kamwe hawapewi nafasi.

Wazungu wanajua madini yetu yapo wapi na ni kiasi gani kuliko sisi na tunategemea takwimu zao kujua tuna gesi, wanyama, mafuta, nk kiasi gani!
Wametupiga bonge la gape hivyo lazima waendelee kula, Kuchota, Kuchukua na mikataba yenye vipindi virefu bila wasi kwani hata sasa bado hatujui Mwl. JKN alikubaliana vipi na wao hata kukabidhiwa nchi pasipo vita!
 
Ndio maan ya kuitwa nchi za ulimwengu wa tatu.
Kwa Msomi kukubali Dhana ya kwamba yuko ( anaishi ) katika Nchi ya Ulimwengu wa Tatu ni dalili tosha kuwa Elimu aliyonayo haijamkomboa na ni Juha ( Fool ) tu kama Majuha ( Fools ) Wengine.
 
. Hivi karibuni tu nchi ya Marekani kupitia Ubalozi wao umetoa Tahadhari juu ya uwepo wa Tukio ( Tishio ) la Ugaidi nchini Tanzania huku wenye Kazi yao ( Intelijensia ) Police Tanzania wakiwa hawajui lolote na kama Intelijensia ya Police Tanzania inachokijua ni kujua tu wapi Vijiwe vya Gongo na Bangi vilipo.
Kibaya kabisa kupitia msemaji wa Polisi eti wanapinga taarifa ya Marekani kuwa sio kweli na hakuna kitu kama hicho!
Ama kweli mapolisi wetu sijui nisemeje!
 
1. Meli ya MV Bukoba ilipozama Ziwani tarehe 21 May, 1996 Wamarekani kupitia Satellite yao waliona na Kutushtua huku wenyewe tukibung'aa bung'aa tu...
Kwa Mimi binafsi nasadiki hill unalolisema, kwa kifupi sana bado tupo nyuma sana, na tuwategemezi kwa kila kitu afu tunakuwa na mashaka juu yao.

Ahaaaaa ni hatari sana.
 
Lakini polisi wanafahamu mambo ya kigaidi maana kuna kipindi walikua wanazuia mikutano ya vyama pinzani kisa matishio ya kigaidi
 
Kwa Msomi kukubali Dhana ya kwamba yuko ( anaishi ) katika Nchi ya Ulimwengu wa Tatu ni dalili tosha kuwa Elimu aliyonayo haijamkomboa na ni Juha ( Fool ) tu kama Majuha ( Fools ) Wengine.
Ndio ukweli huo hayo mengine ni maneno ya kujifariji tu.
 
Sisi tunachojuwa na kufatilia zaidi ni kukata mauno tu,hebu nchi nzima tukutane kwenye uzinduz wa Mario
Mlimani pale

Ova
Ambako Rais Mstaafu Kikwete anaenda na tena hadi kaomba / kaombwa ndiyo awe Mgeni Rasmi.

Hovyo kabisa.....!!!!!!
 
1. Meli ya MV Bukoba ilipozama Ziwani tarehe 21 May, 1996 Wamarekani kupitia Satellite yao waliona na Kutushtua huku wenyewe tukibung'aa bung'aa tu.

2. Miaka kama Mitano au Saba iliyopita (kama sijasahau) Mvua Kubwa sana ilinyesha Mkoani Dar es Salaam iliyoleta Madhara makubwa cha Kushangaza Mitambo ya Hali ya Hewa ya Marekani ilishaona na Sisi Waswahili kama Kawaida yetu tulikuwa tunabung'aa bung'aa tu.

3. Hivi karibuni tu nchi ya Marekani kupitia Ubalozi wao umetoa Tahadhari juu ya uwepo wa Tukio ( Tishio ) la Ugaidi nchini Tanzania huku wenye Kazi yao (Intelijensia) Police Tanzania wakiwa hawajui lolote na kama Intelijensia ya Police Tanzania inachokijua ni kujua tu wapi Vijiwe vya Gongo na Bangi vilipo.

Tanzania bado sana.
We are reactive rather than proactive!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom