Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Mkuu Tutu ni baada ya familia yake kuamua tujue sio msiba wa uswahilini ule[emoji23][emoji23][emoji23]Huna neno lolote la kuwaambia wasiojulikana ambao wameleta vilio na machungu makubwa mno yasiyokuwa na maelezo kuliko hawa wanaoandika humu? Angalia bila hawa, leo tungejua je kuwa Askofu Desmond Tutu katutoka?