Duduvwili JF-Expert Member Joined Jan 31, 2015 Posts 4,355 Reaction score 4,476 Dec 29, 2021 #21 brazaj said: Huna neno lolote la kuwaambia wasiojulikana ambao wameleta vilio na machungu makubwa mno yasiyokuwa na maelezo kuliko hawa wanaoandika humu? Angalia bila hawa, leo tungejua je kuwa Askofu Desmond Tutu katutoka? Click to expand... Mkuu Tutu ni baada ya familia yake kuamua tujue sio msiba wa uswahilini ule[emoji23][emoji23][emoji23]
brazaj said: Huna neno lolote la kuwaambia wasiojulikana ambao wameleta vilio na machungu makubwa mno yasiyokuwa na maelezo kuliko hawa wanaoandika humu? Angalia bila hawa, leo tungejua je kuwa Askofu Desmond Tutu katutoka? Click to expand... Mkuu Tutu ni baada ya familia yake kuamua tujue sio msiba wa uswahilini ule[emoji23][emoji23][emoji23]
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 29, 2021 #22 Kifo hakina usiri...