Haya mengine ongezea wewe πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Kulala na kopo la kukojolea ndani

Jumapili ndio siku ya kupika nyama au kwenda kuchoma nyama...

Hela ndogondogo zinazobaki baada ya matumizi hukaa chini ya godoro upande wa kichwani

Mafuta taa na chumvi ni dawa ya jeraha la ghafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…