Haya mliowahi angalia hizi movie tujuane

Shoko Sugi.
Jimi keri manywele.
Bill Blanks
Komando kipensi sisi tulimuita komando kachupi.
 
Aina ya uwasilishwaji wa uzi ndio nimeona kama joking! Nimekuzoea kwenye nyuzi za kufikirisha na nondo zako. Hii mada imekaa kicommedian sana. Na jukwaa ni hoja mchanganyiko.
Mkuu turefresh mind angalau sio kila muda tukaze mishipa ya shingo...hizo muviz zinafurahisha sana namna zinavyotamkwa huku mtaani...sometimes we need a little bit of joke akili ipumue
 
Hata sasa nazikodolea tu
Mimi nilikuwaga sielewi lugha. Nafowadi mpaka kwenye mkono. Siku hizi nikipata muda mazitafuta moja moja na kuelewa sasa kwa nini walikuwa wanapigana. Utoto raha sana. Kihindi sijui ila nikikusimulia muvi ya kihindi enzi hizo utapenda. Mpaka sound effects yake naiweka kwenye simulizi, haumisi kitu.
 
nimecheka sana aisee

watoto watatu je
anakonda
mista cheni
sam hong

ukipotea nyumbani saa 5 hawakuoni mpaka saa 2 za usiku, unakula stik maisha yanaendelea


way back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…