Haya mliowahi angalia hizi movie tujuane

Haya mliowahi angalia hizi movie tujuane

KALI ZA KITAMBO
1.Anodi la Jenii
2. Prideta
3. Mniga analiwa na mamba
4. Komando kipensi
5. Rambo usongo
6. Maiko dudukofi Ninja
7. Sensia kani
8. Wabasi
9. Anodi la ujiuji
10. Chaki nolis
11. Saibogi
12. Van Dame kipupute
13. Stivin Siga
14. Boloyanki
15. TaiChi
16. Linolenzi
17. Mzee Ashanti
18. Temineta
19. Amita yayaaa
20. Jack cheni
21. Blusilii
22. No litriti no sarenda
23. Kuchi kuchi
24. Govinda
25. Shumsheti na Akshei
26. Misuni chakalaboti
27. Titanike
28. Yondo Sister
29. Aivoni chakachaka mukombochi
30. Laki Seven
31. Bebi alone
32. Amerika Ninja
33. Tazani
34. Rambo
35. Batman na supaman (popobawa)
36.
37.


Enzi za banda la tivii maliza sana hamsini zetu. Na kunyuti kwenda skuli

Aloo mods muwazuie panya road wasichukue uzi huu wa wazee vijana
Shoko Sugi.
Jimi keri manywele.
Bill Blanks
Komando kipensi sisi tulimuita komando kachupi.
 
Aina ya uwasilishwaji wa uzi ndio nimeona kama joking! Nimekuzoea kwenye nyuzi za kufikirisha na nondo zako. Hii mada imekaa kicommedian sana. Na jukwaa ni hoja mchanganyiko.
Mkuu turefresh mind angalau sio kila muda tukaze mishipa ya shingo...hizo muviz zinafurahisha sana namna zinavyotamkwa huku mtaani...sometimes we need a little bit of joke akili ipumue
 
Hata sasa nazikodolea tu
Mimi nilikuwaga sielewi lugha. Nafowadi mpaka kwenye mkono. Siku hizi nikipata muda mazitafuta moja moja na kuelewa sasa kwa nini walikuwa wanapigana. Utoto raha sana. Kihindi sijui ila nikikusimulia muvi ya kihindi enzi hizo utapenda. Mpaka sound effects yake naiweka kwenye simulizi, haumisi kitu.
 
nimecheka sana aisee

watoto watatu je
anakonda
mista cheni
sam hong

ukipotea nyumbani saa 5 hawakuoni mpaka saa 2 za usiku, unakula stik maisha yanaendelea


way back
 
Back
Top Bottom