Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jini alipigwa hadi alikojoaUmesahau nemesis nebula
Stelingi mwanamke kakomaa balaa[emoji3]
(Alex kimbiaa jini linakujaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])
Una kumbukumbu mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]Jini alipigwa hadi alikojoa
Histiria ya kuangal muvi nimeanza unabeba tofali 100 unapew sh 100 unaangalia siku 2Dogo kumbe kubeba tofali kipindi kile chote ulikuwa unatafuta pesa ya kuangalia mapicha ya mkandala
Aina ya uwasilishwaji wa uzi ndio nimeona kama joking! Nimekuzoea kwenye nyuzi za kufikirisha na nondo zako. Hii mada imekaa kicommedian sana. Na jukwaa ni hoja mchanganyiko.Kwann mkuu
Shoko Sugi.KALI ZA KITAMBO
1.Anodi la Jenii
2. Prideta
3. Mniga analiwa na mamba
4. Komando kipensi
5. Rambo usongo
6. Maiko dudukofi Ninja
7. Sensia kani
8. Wabasi
9. Anodi la ujiuji
10. Chaki nolis
11. Saibogi
12. Van Dame kipupute
13. Stivin Siga
14. Boloyanki
15. TaiChi
16. Linolenzi
17. Mzee Ashanti
18. Temineta
19. Amita yayaaa
20. Jack cheni
21. Blusilii
22. No litriti no sarenda
23. Kuchi kuchi
24. Govinda
25. Shumsheti na Akshei
26. Misuni chakalaboti
27. Titanike
28. Yondo Sister
29. Aivoni chakachaka mukombochi
30. Laki Seven
31. Bebi alone
32. Amerika Ninja
33. Tazani
34. Rambo
35. Batman na supaman (popobawa)
36.
37.
Enzi za banda la tivii maliza sana hamsini zetu. Na kunyuti kwenda skuli
Aloo mods muwazuie panya road wasichukue uzi huu wa wazee vijana
Mkuu turefresh mind angalau sio kila muda tukaze mishipa ya shingo...hizo muviz zinafurahisha sana namna zinavyotamkwa huku mtaani...sometimes we need a little bit of joke akili ipumueAina ya uwasilishwaji wa uzi ndio nimeona kama joking! Nimekuzoea kwenye nyuzi za kufikirisha na nondo zako. Hii mada imekaa kicommedian sana. Na jukwaa ni hoja mchanganyiko.
Mimi nilikuwaga sielewi lugha. Nafowadi mpaka kwenye mkono. Siku hizi nikipata muda mazitafuta moja moja na kuelewa sasa kwa nini walikuwa wanapigana. Utoto raha sana. Kihindi sijui ila nikikusimulia muvi ya kihindi enzi hizo utapenda. Mpaka sound effects yake naiweka kwenye simulizi, haumisi kitu.Hata sasa nazikodolea tu