GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mpelekee million 1 khanjbay ushinde milioni 21.Hii mbungi mtonyo itatamatika kwa sare ya 2-2
Kwani huko uwanjani naenda kucheza mimi mwenyewe, mpira na magoli? 😅😂Mpelekee million 1 khanjbay ushinde milioni 21.
Umeshatonywa matokeo halisi, kwa nini usibet na kupiga hela uongeze mke wa pili 😂
Kumbe huna imani na timu yako 😂😂Kwani huko uwanjani naenda kucheza mimi mwenyewe, mpira na magoli? 😅😂
Kaka uwanjani sichezi mimi 😂Kumbe huna imani na timu yako 😂😂
Unataka akufeMpelekee million 1 khanjbay ushinde milioni 21.
Umeshatonywa matokeo halisi, kwa nini usibet na kupiga hela uongeze mke wa pili 😂
Hii ni uhakikaHii mbungi mtonyo itatamatika kwa sare ya 2-2
Na wote tuseme Aamin!
Hakuna sare yanga inafia pale Egypt.Hii mbungi mtonyo itatamatika kwa sare ya 2-2
Ngoja uoneHakuna sare yanga inafia pale Egypt.
Wakubeti waweke hata uhaiHii ni uhakika