Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Kama pale hospital ya kairuki wamejazana wahaya tupu, aisee...kumbe mwendazake kuwapendelea wasukuma wenzie kwenye kila sekta ilikuwa ni sawa tuElimu nchi hii siyo tu degrii za chupi ila ukabila na udini unaathiri sana elimu.
Mchaga lazima ampendelee mchaga na mhaya anapendelea sana wahaya wenzie.Muislam anapendelea muislam mwenzie kwa sababu anaamini wao wanaonewa sana!
Tunahitaji neema ya Mungu kubadili mambo.Ndio maana degrii za watanzania ni kama tu ubingwa wa yanga.
Sijaelewa wanamgombania mwijaku au??Hao ni malaya wa kitambaa
sasa hawa makosa yao ni nini? Chuo sio kusoma tu pia ni sehemu ya kukua, kujua vipaji vyako na kujifunza kuhusu maisha ndo maana kuna clubs mbalimbali kuna vikundi rtc etc sasa ni kazi ya kijana kujitambua ajieke namna ganiKundi lingine la wanachuo wasiojitambua ni hili👇👇 kwa sasa wameamua kutumiwa vibaya na watawala kwa ahadi hewa za ajira na mengineyo..
View attachment 3310060
Fara sana atakuwa ni mwana ccm huyuHuyo jamaa yeye huwa ni kuweka dislike tu anakera sana.
Wanatumiwa na viongozi wa ccm kama toilet paper na mwisho wa yote hawataambulia kitusasa hawa makosa yao ni nini? Chuo sio kusoma tu pia ni sehemu ya kukua, kujua vipaji vyako na kujifunza juhusu maisha ndo maana kuna clubs mbalimbali kuna vikundi rtc etc sasa ni kazi ya kijana kujitambua ajieke namna gani
Picha ya Gpa la chupi tafadhari....
Mambo ya hovyo sanaGood things ni kwamba wazazi nao wanachangia....Kuna dada mmoja anasoma MUCe Ile kapata tu admission mama na dada ake wakaanza kumuusia ajitahidi mpaka anamaliza chuo awe amepata mtu anaeeleweka (Financial Stable) ili akimaliza asirudi nyumbani.....imagine such mentality