Haya mnayoyaona ya wanachuo kupigania bwana ni matokeo ya kutegemea G.PA za" chupi"

Haya mnayoyaona ya wanachuo kupigania bwana ni matokeo ya kutegemea G.PA za" chupi"

Dents wa chuo wanapigana kisa Mwija? Sasa ana nini yulee kipya? Nikajua wanamgombania mtu wa maana, Lol.

Poleee zao.
 
Elimu nchi hii siyo tu degrii za chupi ila ukabila na udini unaathiri sana elimu.
Mchaga lazima ampendelee mchaga na mhaya anapendelea sana wahaya wenzie.Muislam anapendelea muislam mwenzie kwa sababu anaamini wao wanaonewa sana!

Tunahitaji neema ya Mungu kubadili mambo.Ndio maana degrii za watanzania ni kama tu ubingwa wa yanga.
Nimewai kukutana na hii mnyakyusa ampendelee mnyakyusa mwenzake msukuma ampendelee msukuma mwenzakee ie mchaga, mhaya , mkurya & vice versa is True.
 
Alafu kuna kitu hamjui aiseee kuhusu huko chuo..
Narudia tena hakuna GPA za chupi..
Dada zetu wanapambana kule kusoma na kufikisha coursework kwa akili yao wenyewe ila sio kwa kuvua vua kama kuvua watavuana wanafunzi kwa wanafunzi ila sio wanafunzi kwa malecture..

Sasa kama hizo gpa za chupi zinapatikana kwa wanafunzi kuvuana chupi wao kwa wao nambeni mnielekeze zinakuaje
Wee huna ulolijua kabisaa, 😂😂😂😂
 
wamifanyishwa mitihani akina kibajaj wanakuja na maneno yakiendawazimu
 
Jamani nihurumieni basi miguu inauma, kutwa nzima narandaranda mara jukwaa hili mara jukwaa lile niipate hiyo video ya mwijaku lakini mpaka sasa bila bila
 
Back
Top Bottom