Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Kwanza kabisa mm c o mwana CCMFara sana atakuwa ni mwana ccm huyu
Unapenda Likes pekee?Huyo jamaa yeye huwa ni kuweka dislike tu anakera sana.
πππNkaburu toa hoja kama unakereka usiweke dislike za kipumbavu kwenye Uzi wangu.
Lengo langu ndio hilo nataka mkerekeUnapenda Likes pekee?
Ww mjamaa posti zako zinakera, unataka likes?
Kwakuwa umekana kuwa wewe sio mwana ccm basi sio faraKwanza kabisa mm c o mwana CCM
Pili koma kabisa kuniita mimi fara, Fala
Tatu, hichi kitufe cha dislike kipo ili kuruhusu watumiaji wengine kutoa maoni yao bila uhitaji wa kuandika hoja ya kupinga kila wakati.
Alafu kuna kitu hamjui aiseee kuhusu huko chuo..
Narudia tena hakuna GPA za chupi..
Dada zetu wanapambana kule kusoma na kufikisha coursework kwa akili yao wenyewe ila sio kwa kuvua vua kama kuvua watavuana wanafunzi kwa wanafunzi ila sio wanafunzi kwa malecture..
Sasa kama hizo gpa za chupi zinapatikana kwa wanafunzi kuvuana chupi wao kwa wao nambeni mnielekeze zinakuaje
Umewahi kupitia chuoni, yaani wewe una elimu yoyote ya chuo?..Mimi nimesoma zaidi ya vyuo viwili kwa hiyo nilichokiandika hapa nakifahamu.Alafu kuna kitu hamjui aiseee kuhusu huko chuo..
Narudia tena hakuna GPA za chupi..
Dada zetu wanapambana kule kusoma na kufikisha coursework kwa akili yao wenyewe ila sio kwa kuvua vua kama kuvua watavuana wanafunzi kwa wanafunzi ila sio wanafunzi kwa malecture..
Sasa kama hizo gpa za chupi zinapatikana kwa wanafunzi kuvuana chupi wao kwa wao nambeni mnielekeze zinakuaje
Nenda rabininsia ni kama upo machameKama pale hospital ya kairuki wamejazana wahaya tupu, aisee...kumbe mwendazake kuwapendelea wasukuma wenzie kwenye kila sekta ilikuwa ni sawa tu
Yawezekana maana jamaa ana makasiliko sana πFara sana atakuwa ni mwana ccm huyu
Punguza hizo dislike bhana.Unapenda Likes pekee?
Ww mjamaa posti zako zinakera, unataka likes?
Hiyo ni hospital binafsi hilo linawezekana, kwenye taasisi za umma ni big noKama pale hospital ya kairuki wamejazana wahaya tupu, aisee...kumbe mwendazake kuwapendelea wasukuma wenzie kwenye kila sekta ilikuwa ni sawa tu
Ni vile watu wana story za vijiweni au mybe zamani ilikua hivo..Baazi ya watu sijui hawajafika Chuo, au wamesoma vyuo gani.
Rate ya Kutembea na Recturer kwa Wadada wa chuo, ni less to 1%
Mpaka unapata degree yako ushasimamiwa na Recturer hata 20, Sasa utatembea nao Wote?
Na kama kuna Mapenzi ya Recturer na Mwanafunzi, Ujue hapo chambo ni pesa na sio Mitihani kwa asilimia kubwa, Kitu ambacho hata mitaani kwa wasio soma kinatokea
So, Vijana waache Ushamba
Mkuu. simchukii mtu, sikuchukii. kama mupost inanikera naweka dislike haina maana nina chuki na mtu, hapana.Punguza hizo dislike bhana.
Si kweli, wapo wengi zaidi wenye uwezo wao mkubwa darasani. Kauli hizi mara nyingi hutolewa na watu ambao hawajawahi kusoma degree....Haya yote mnayoyaona ni matokeo ya G.P.A za chupi, mabinti wanategenea watoe rushwa ya ngono ndio wapate ufauru mzuri.
Jamaa id yako inafanya nianze kukuogopa mbona unanifokea sasa....Umewahi kupitia chuoni, yaani wewe una elimu yoyote ya chuo?..Mimi nimesoma zaidi ya vyuo viwili kwa hiyo nilichokiandika hapa nakifahamu.
πππππYawezekana maana jamaa ana makasiliko sana π