Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Status
Not open for further replies.

trudie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
3,668
Reaction score
8,745
Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza.

Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa, vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila aina lakini siku zote tumekuwa tukipendana na kuthaminiana kama tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao, ni hawajui tu niwapi tulipotokea...to the world, you may be one person.

But to me, you are the world, My Beautiful World na kama kukupenda ni uwendaazimu basi ni bora Nikabaki kwenye uchizi wangu kuliko kupata Ufahamu.

I may not be physically present to stand by you while you cut your cake, but you'll be in my thoughts the whole day!

Happy birthday Darling mmeo niko nahangaika, but i will be coming home soon.

Love you mama
 
How can I deny this feeling i'm feeling inside
? No one can never take your place can never take your space,
Thats a fact I cannot erase
and you are the one that makes me smile
,make me float like a boat upon the nile.
 
Hii movie itaisha lini? Maana nisha sahau season ya ngapi niliishia
 
Wapenzi wakigombana mnabeba jembe mkalime wakipatana mnabeba kapu kwenda kuvuna..

Maana watu walikaa kusubiria leo itakuwaje..

Yaaan jana walianza kumshushua diamond y aja muwish madam ila kwa hyo post ya leo wanatafutana mbona.....mapenzi nivuruge
 
Nilipata presha eti dimondo anamuoa menina!! Jamani nyie tuwaache na mahaba yao.
 
Yaaan jana walianza kumshushua diamond y aja muwish madam ila kwa hyo post ya leo wanatafutana mbona.....mapenzi nivuruge

Haaaaaaaa kumbe na we uliona..... Insta kunanichekeshaga muda mwingine

Mapenzi niangamize kama Ebola.LOL
 
Hiyo ilikuwa publicity stunt tu,wema na diamond wanajua kucheza na wa-tz ili umaarufu wao uzidi kupaa,Wema ndio mshika usukani anamuendesha diamond! Wema ndio anayeweza kumwaga diamond ila Diamond hawezi hata adhikiri uchi,wema anajua kucheza na akili ya Chibu dangote!! Ila Diamond namshauri asitumie neno dangote maana huyo jamaa ni untouchable kwenye faranga utajiri wake ukijumlish utajiri wa kina bakhresa,mengi,rostam,infoteck,mo dewji,patrick ngowi na bado hata 10% ya dangote hawajamfikia.
 
Haaaaaaaa kumbe na we uliona..... Insta kunanichekeshaga muda mwingine

Mapenzi niangamize kama Ebola.LOL

Mweeeeeeehh ebola tena c utakufa...ila insta ni mwisho wa habar.watu wanajitoa ufahamu mpk basi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…