Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli kabisaaaa....ndomo hajui ngeli acha ulongo!
Ha ha ha ha. Munao kaa na kufatilia haya mapenz ya hawa watu hata nyinyi nawaita kwanza wambeya ya mitandaon pili wapuuz hamna kaz ya kufanya.
Na wrwe uliekuja kufatilia pia tukuwwke kundi gani? au mchawi
Tena hyo point hasa ilkulenga wewe na wenzako msiokuwa na kaz ya kufanya kuangalia ya watu. Wewe hapo inakuhusu
Na wewe kutufatulia tusio na kazi lazima utakuwa hauna kazi ya kufanya.
Ha ha ha ha. Munao kaa na kufatilia haya mapenz ya hawa watu hata nyinyi nawaita kwanza wambeya ya mitandaon pili wapuuz hamna kaz ya kufanya.
heee! sasa mwenzetu kwenye hii post umeingia kufanya nini na unajua kabisa inaongelea mapenzi ya watu????
We unahs nmekuja kufanya nn?? Go to hell
umbea na upuuzi ndio umefuata humu ndani??? poor u!!! unaingia na migi ya maarifa ya nyumbani kwenye mtihani wa sayansi???? lazima udisco....
Kumbe uko shule ya msingi halafu unajua kudisco...hongera kwa kuruka stage
Sio kweli kabisaaaa....ndomo hajui ngeli acha ulongo!
umbea na upuuzi ndio umefuata humu ndani??? poor u!!! unaingia na migi ya maarifa ya nyumbani kwenye mtihani wa sayansi???? lazima udisco....