Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Status
Not open for further replies.
Mabadiliko tunayaona............hadi raha
Insta kawa adimu ana post when necessary......

wenye visokorokwinyi wamekaa kujiashauaaaaa........habari ya mjini ndio hii
Mlioko ICU ninauza majeneza muanze kutoa oda mapema

Aiseee hahahaha
Jf mwisho wa matatizo
We binti una vituko hakika
 

Kwahiyo tunaicheck ipi Murano au BMW?

Mimi ni mpenda maendeleo itafurahisha kadi ikionesha yeye ndio mmiliki otherwise mimi sipendi kuwafanyia filmee hawa mabinti zetu.
 
Kwahiyo tunaicheck ipi Murano au BMW?

Mimi ni mpenda maendeleo itafurahisha kadi ikionesha yeye ndio mmiliki otherwise mimi sipendi kuwafanyia filmee hawa mabinti zetu.

Mpwa we umesema kesho waleta jina la mmliki ndio nalisubiria kwa hamu zoote...

This time NO more dramas
 
Ukisikia PAA jua limekupata.. unapigwa kombora moja kama Al shabab unabaki kuweweseka.....

Hahaaaaaa mjini raha..
 
Mpwa we umesema kesho waleta jina la mmliki ndio nalisubiria kwa hamu zoote...

This time NO more dramas

Mpwa mimi am too old kwa hizi Team Team nimeshapita rika hilo, ninachotaka mimi ni kusearch tu mmiliki wa gari kwenye kadi ili huyu asiwe anachezewa akili.

Siku hizi mimi hata kimkweche changu kulipia road licence nalipa nikiwa nyumbani kwa Max Malipo na Tra napeleka risiti tu kwa ajili ya kuprint out licence disk.

Hata wewe ukiamuwa kujuwa gari namba fulani mmiliki ni nani ni very simple mpwa wala siyo big issue.
 
Diamondo anasababisha haya yanatutokea na sisi sasa
 

Attachments

  • 1412016181551.jpg
    69.6 KB · Views: 421

Mahaba niueeeee tutaskia mengi hii 2014
 

Kweli kabisa,Huyu dada ana nyota nzuri sana kama angekuwa na ufahamu au watu wazuri wa kumshauri angeweza kutumia jina lake vizuri kutengeneza pesa ebu fikiria hizi pesa anazotuza wasanii majukwaani na kufanyia starehe zisizo na maana kama angefungua labda Cosmetics hv au Duka la nguo za kike,au Saloon nzuri ya kike n.k ingeweza mletea faida sana maana watu wengi wanampenda tatizo ndo hivyo Hajitambui na wala haijui thamani yake......Wanasemaga Mungu hakupi kila kitu,Ukipewa uzuri basi labda utakosa maarifa,Na unaweza ukawa na akili then huna pesa wala mvuto...Mungu amnusuru huyu dada maana hata mimi nampenda.
 

Nielekeze namna ya kujua nijue
Mpwa mie sina team.. team yangu familia yangu.. ko usinione kushabikia hapa ukazani ni zile #teammaandazi za insta...

Btw tuachane na haya hapa mie nashabikia kwa mengi kuna behind the scene ya huu ushangiliaji wangu
 

hahahaha eti atamention kijiji kizima lol
 

Ahahahha oddo umeniwacha hoi pale ulivotowa ushahidi wa kaaaadi!
Wema alikuwa kama anakagua homuweki!
 

Mpwa kwani wewe hujanunuwa kavitz bado?

Wape namba ya gari Max Malipo waambie wakuangalizie kama road licence imelipwa na inaisha lini. Wasipokupa na jina la mmliki unawauliza TRA kwamba kuna mtu anataka kuniuzia gari namba hizi naomba kujuwa uhalali wake kabla sijalinunuwa. Just simple like that watakupa jina la mmiliki.
 

Au aende TRA Samora floor ya kwanza aombe Audit trail.Ataprintiwa Hstory ya gari from first registration in the country,first to the current owner na details za malipo ya road licence
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…