Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Wataachana tu...
Dua la Kuku halimpati mwewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataachana tu...
Tunakesha wengi umu,
Nimekuja kuchukua kiti changu..........:wacko::wacko::wacko::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:
![]()
Furahi mwaya maisha yenyewe haya mafupi
Teamwema walitaka kugoma kupiga kura.ila naona kuanzia leo wataanza kumpigia kura.chibu anaakili kwakweli ya kucheza na jina la wema
maneno mazuri ila hata penny aliambiwa na yeye yakamtoa machozi ya furaha
Na TV SHOW yake ya in my shoes inarudi,wenyewivu watajinyonga kwa kutumia undende mwaka huu.
umenikumbusha ile VX ya ndomo hata iliyopoyeyukia haijulikani.
Na bado mdada wa watu acha awork hard in silence,mafanikio ndo yatamake noise.Dina vipi ulipata lakini usingizi?au ilibidi unywe valium kabisaWacha weeeee
:A S wink:
FOR THE FIRST TIME I COMMENTED VIBAYA UHUSU WEMAZ DECISIONS LOL
AND NIKASAHAU ITS NONE OF MY BUSINESS
NAKUBALI I WAS WRONG
Na bado mdada wa watu acha awork hard in silence,mafanikio ndo yatamake noise.Dina vipi ulipata lakini usingizi?au ilibidi unywe valium kabisa
Watu hooooi yani.
Mimi wala hanifahamu,ila nashangaa wanaomchukia mtoto wa watu hata hawamjui,yaani wanatunga umbea utafikiri kweli vileHhhhaaa aaa wapii nililala vizuri kabisaa, yaan nisilale kisa wema loo nyie naona ndio hamkulala aisee vipi mlialikwa kwenye party ninii! !!!!
Mimi wala hanifahamu,ila nashangaa wanaomchukia mtoto wa watu hata hawamjui,yaani wanatunga umbea utafikiri kweli vile
Mliokuwa mnaulizia kadi...
Sa hivi ni mwendo wa vitendooo
Mliokuwa mnaulizia kadi...
Sa hivi ni mwendo wa vitendooo