Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Status
Not open for further replies.
ImageUploadedByJamiiForums1411934803.151480.jpg
Ujumbe maridhawa kwa hawa walio kwenye haya mashindano

Mwingine dada yake hajampa hata kavitz wala hata kumuandikia status

Mwingine anaishi kwao kwenye banda la uani halafu leo anatoa BMW
 
Diamond afanye yote wakati huu ni wake. Nakumbuka sana mapenzi ya Michael Jackson kwa Debie Rowe. Publicity nyiiiiingi kwenye magazetu ya dunia,, muda ni muda tuu. Afanye kila kitu mapema kabla hakujaitwa enzi hizo. Kula bata,,wema usingempata kwa maisha yale ya tandale enzi zile.
Aangalie tuu asipate ngoma,bora MJ alioza pua,sio ngoma aisee.
 
kadi ya mzee wa red aliiweka wapi??aka BO..TANGO
akijibu hili dIamondi ataoa
 
Yaan leo mi nishalazwa kabisa ICU wema katufungajee, warumi angekuwepo leo ningecheka mnoo
Ila sio tu kesho kutwa tusikie hana magarii maana Wema kwa maonyesho namkubaliii

Pole sana, Warumi huko alipo presha inapanda na kushuka, hebu mtafute labda tayari kashalazwa mwaisela!!! au atakuwa nyumbani lounge anaangalia movie inavyoendelea.
 
Hv kuna watu wameamka kweli, yani leo kwenye ndoto wengi wamemuota wema bisha?
 
muke wa mukuu mi sidhani kama alimdhalilisha, alimueleza ukweli, wanasemaga (kampa kitu kichungu) na kiukweli kuna mabadiliko wema kafanya and thats why move inaendelea, cha kufanya wee agiza popcon

Mabadiliko tunayaona............hadi raha
Insta kawa adimu ana post when necessary......

wenye visokorokwinyi wamekaa kujiashauaaaaa........habari ya mjini ndio hii
Mlioko ICU ninauza majeneza muanze kutoa oda mapema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom