Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Au aende TRA Samora floor ya kwanza aombe Audit trail.Ataprintiwa Hstory ya gari from first registration in the country,first to the current owner na details za malipo ya road licence
Mpwa ni kadi ya gari gani hiyo Murano au BMW? Maana namba za gari zipo nataka kukata mzizi wa fitina nitaleta jina la mmiliki kesho.
Shikamoo nsalu
Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza.
Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa, vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila aina lakini siku zote tumekuwa tukipendana na kuthaminiana kama tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao, ni hawajui tu niwapi tulipotokea...to the world, you may be one person.
But to me, you are the world, My Beautiful World na kama kukupenda ni uwendaazimu basi ni bora Nikabaki kwenye uchizi wangu kuliko kupata Ufahamu.
I may not be physically present to stand by you while you cut your cake, but you'll be in my thoughts the whole day!
Happy birthday Darling mmeo niko nahangaika, but i will be coming home soon.
Love you mama
My dear,kwani KLYN nae si papuch ndo iliyomfikisha hapo?nashangaa unamwaminia Klyn wakati na yeye Papuch ndo imemfikisha kuwa kimada wa Machache
Halaf hata hawakualikwa maskinii yarabii,keki wameishia kuiona kwenye picha aiseee wana kaziiii walivyotokwa povu utadhan wamemeza sabuni zote za ungaa
Mengi hajawahi kutoa talaka kwa Mama Mercy Mengi,ni wamaseparate kimutual tu.KLYN ni kimada tu,labda mke wa Mengi afe,then Mengi afunge ndoa na JackHivi klyn ni kimada?
Mi navyojua mi mke coz machache alitengana na mkewe kisheria!
We unahs nmekuja kufanya nn?? Go to hell
Tuliza mukari mrembo
Teh teh teh teeeeh....nmechekaaaaaa
Kwahiyo tunaicheck ipi Murano au BMW?
Mimi ni mpenda maendeleo itafurahisha kadi ikionesha yeye ndio mmiliki otherwise mimi sipendi kuwafanyia filmee hawa mabinti zetu.
Twende taratibu punguza hasira.nafuatilia mdogo mdogo; ila tutake radhi japo tupo kwenye kubangaiza😀
Sasa nwatake radh kwa lp jamani?we endelea kubangaiza
dooh huko twitani washalipata jina la mmiliki somebody George Msambizi.nimeshindwa kufanya attachment.
ila cha kujiuliza mtu akikuuzia gari inamaana si unaweza kubadili jina kwenye kadi au utatumia jina lake?
dooh huko twitani washalipata jina la mmiliki somebody George Msambizi.nimeshindwa kufanya attachment.
ila cha kujiuliza mtu akikuuzia gari inamaana si unaweza kubadili jina kwenye kadi au utatumia jina lake?
Kubadili jina kwenye kadi ni shilling 50,000/= tu. Na ni process ambayo haizidi nusu saa.
Dinazarde haya Filamu imeanza huku.
Hahahaa haaaa
Mpwa kwani wewe hujanunuwa kavitz bado?
Wape namba ya gari Max Malipo waambie wakuangalizie kama road licence imelipwa na inaisha lini. Wasipokupa na jina la mmliki unawauliza TRA kwamba kuna mtu anataka kuniuzia gari namba hizi naomba kujuwa uhalali wake kabla sijalinunuwa. Just simple like that watakupa jina la mmiliki.