Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Status
Not open for further replies.
Mpwa ni kadi ya gari gani hiyo Murano au BMW? Maana namba za gari zipo nataka kukata mzizi wa fitina nitaleta jina la mmiliki kesho.

Kwa hiyo leo katika ratiba zako umeweka na safari ya kwenda Tra kwa ajili ya kuhakikisha kuhusu magari ya Wema? Yote hayo ya nini?

Nchi hii ina watu wa ajabu sana.
 
Hahahahaaaaa, acha muvi iendelee. Na tuwaache walale wakiamka watakuwa wamejitambua.
Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza.

Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa, vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila aina lakini siku zote tumekuwa tukipendana na kuthaminiana kama tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao, ni hawajui tu niwapi tulipotokea...to the world, you may be one person.

But to me, you are the world, My Beautiful World na kama kukupenda ni uwendaazimu basi ni bora Nikabaki kwenye uchizi wangu kuliko kupata Ufahamu.

I may not be physically present to stand by you while you cut your cake, but you'll be in my thoughts the whole day!

Happy birthday Darling mmeo niko nahangaika, but i will be coming home soon.

Love you mama
 
My dear,kwani KLYN nae si papuch ndo iliyomfikisha hapo?nashangaa unamwaminia Klyn wakati na yeye Papuch ndo imemfikisha kuwa kimada wa Machache

Hivi klyn ni kimada?
Mi navyojua mi mke coz machache alitengana na mkewe kisheria!
 
Hivi klyn ni kimada?
Mi navyojua mi mke coz machache alitengana na mkewe kisheria!
Mengi hajawahi kutoa talaka kwa Mama Mercy Mengi,ni wamaseparate kimutual tu.KLYN ni kimada tu,labda mke wa Mengi afe,then Mengi afunge ndoa na Jack
 
Kwahiyo tunaicheck ipi Murano au BMW?

Mimi ni mpenda maendeleo itafurahisha kadi ikionesha yeye ndio mmiliki otherwise mimi sipendi kuwafanyia filmee hawa mabinti zetu.

dooh huko twitani washalipata jina la mmiliki somebody George Msambizi.nimeshindwa kufanya attachment.
ila cha kujiuliza mtu akikuuzia gari inamaana si unaweza kubadili jina kwenye kadi au utatumia jina lake?
 
Kubadili jina kwenye kadi ni shilling 50,000/= tu. Na ni process ambayo haizidi nusu saa.
Dinazarde haya Filamu imeanza huku.
 
Last edited by a moderator:

Wacha movie iendelee
 
Kubadili jina kwenye kadi ni shilling 50,000/= tu. Na ni process ambayo haizidi nusu saa.
Dinazarde haya Filamu imeanza huku.

Nimeshaona kitambo na watu tunajua nini kinaendeleaa wacha movie iendeleee wanajitahidi kuwapata isidingo watu wapo location bado
 
Last edited by a moderator:
Mpwa kwani wewe hujanunuwa kavitz bado?

Wape namba ya gari Max Malipo waambie wakuangalizie kama road licence imelipwa na inaisha lini. Wasipokupa na jina la mmliki unawauliza TRA kwamba kuna mtu anataka kuniuzia gari namba hizi naomba kujuwa uhalali wake kabla sijalinunuwa. Just simple like that watakupa jina la mmiliki.

Teh teh unadhani gari mata.ko kusema kila mtu anayoo, wanaume nao wanahonga chipsi na soda basiiii wakijitahidi utanunuliliwa kuku nyota ya mbwa kutembea bila viatuuu
Jamani usukumani narudi nyumbani ni nyumbani hata pawe kichakaniii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom