Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Status
Not open for further replies.
Hiyo ni mikia ya Mbuzi, imeshindwa kujisitiri yenyewe sehem nyeti sasa itaweza kufukuza inzi, mbung'o.
 
trudie

Sio kweli kabisaaaa....ndomo hajui ngeli acha ulongo!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha. Munao kaa na kufatilia haya mapenz ya hawa watu hata nyinyi nawaita kwanza wambeya ya mitandaon pili wapuuz hamna kaz ya kufanya.
 
trudie

Duh! Maneno matamu yanagusa moyo. Nice couple
 
Last edited by a moderator:
Na wewe kutufatulia tusio na kazi lazima utakuwa hauna kazi ya kufanya.

Thubuthuuuuu. ..ha ha ha ha ha et na wewe, toka ln?? Yaani kuna watu povu lnawatoka kisa watu fulan si ujinga huo na kutokuwa na akil tmamu!!! Mirembe is ya rite place
 
umbea na upuuzi ndio umefuata humu ndani??? poor u!!! unaingia na migi ya maarifa ya nyumbani kwenye mtihani wa sayansi???? lazima udisco....

Kumbe uko shule ya msingi halafu unajua kudisco...hongera kwa kuruka stage
 
hawa jamaa kuachana ni ngumu they'v made 4 each other. hongera zao.
 
..#Dinarzde njoo unipe update ya hadith hii rafiki yangu.. nimeachwa moro stand.

By the way.. hii inawezakuwa verse ya wimbo wake mpyaaa.. wonders shall never end
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…