Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Status
Not open for further replies.
26 at last....

Kumbe miaka yake haijasimama...
 

Attachments

  • 1411913288595.jpg
    54.3 KB · Views: 495
  • 1411913305911.jpg
    75.5 KB · Views: 487
  • 1411913319890.jpg
    64.7 KB · Views: 485
  • 1411913339202.jpg
    55.5 KB · Views: 473
  • 1411913379396.jpg
    63.2 KB · Views: 454
Ndiyo wakome kuingilia mapenzi ya watu. Maana watu maneno yaliwatoka humu ndani ooh wameachana ooh Menina anaolewa sijui vikao vimeanza. Kiko wapi sasa. Waacheni watoto wa watu wao ndiyo wanajua mwisho wao na siyo watu wa pembeni.
Wapenzi wakigombana mnabeba jembe mkalime wakipatana mnabeba kapu kwenda kuvuna..

Maana watu walikaa kusubiria leo itakuwaje..
 
Ndiyo wakome kuingilia mapenzi ya watu. Maana watu maneno yaliwatoka humu ndani ooh wameachana ooh Menina anaolewa sijui vikao vimeanza. Kiko wapi sasa. Waacheni watoto wa watu wao ndiyo wanajua mwisho wao na siyo watu wa pembeni.

Hahaaaa umeona nsalu maana walianza ooh Menina habari ya mjini sa hivi wameufyata kimyaaaa sa hivi wamegeuka kusema presha zimeshuka hahahaaaaaa

Mapenzi ya watu yanaingiliwa basi wenyewe ndio wanajua. Mie naipenda hii couple mika mia nne
 
Last edited by a moderator:
Angalau kaisogeza sogeza mbele kidogo...

Maana angedai 24....

Yap, kapendeza.... na sherehe ya kistaarabu na sio vigodoro

Hahhhhaaa,ni shidaa aiseee sie yetu macho tukisikiacho tunajadilii iwe meninah tutajadili hata iwe nani,et upate presha kisa wema na chibuu mabwakuuuuu
Na wala hatuufyati kimya aisee ni funua funika
 

Nimekuelewa
 
According to dougie... zawafi kutoka kwa martin

Mmmmmmmmh million questions. ....
 

Attachments

  • 1411916089437.jpg
    53.8 KB · Views: 424
  • 1411916104956.jpg
    60.8 KB · Views: 410
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…