Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Status
Not open for further replies.
Umeongea ukweli mtupu...

Wema ana influence sana mie nimeelewa leo..mie nampenda Wema naonaga Chibu ndie happiness yake.... wacha waendelee kututeka kama majeshi ya Al shabab vile

Am happy tu leo

I can see.. your more than happy...
Hakika
Wema ana influence kubwa sana kwenye muziki wa Diamond! Kuna show moja nili hudhuria kusini(gas city)ilikuwa ya Diamond na Wema alikuwepo na ndio ilikuwa ndio Mara yangu ya kwanza kuhudhuria show ya Diamond,hakika niliamini Wema ni brand kubwa na ana mchango mkubwa sana!

Yani Ilikuwa nyomi sijapata kuona alipanda Diamond watu walishangilia kama kawaida lakini kitendo cha Diamond kumuita Wema yani ilikuwa vurugu nilifikiri watu wamechanganyikiwa kabisa maana watu walilipuka sijapata kuona hadi nilishangaa na alikuwa akiimba wema wanapagawa kabisa!

Nilijiuliza sana kwanini Wema hatumii jina lake na nafasi aliyo nayo na Diamond kufanya biashara? Kwakweli siku hiyo ndio niliamini Wema anapendwa hila hajui kutumia nafasi hiyo kufanya biashara!
 
Word!wewe unaakili sana.ninawachache wanaoweza ona hili jambo kwa mtazamo wako na wangu.wengi wanadhani ni love.kumbe hakuna kitu.kubwa ni promo tu.big up kakaQUOTE=Ruttashobolwa;10731032]Kumbe bado ni mdogo!
Bila shaka hatuna wiki3 Diamond Lazima atoe nyimbo mpya na hata kama sio nyimbo lazima afanye kitu!

Wema ni mtaji mkubwa sana kwa Diamond hayo ya Menina bila shaka yalipangwa hili kuvuta attentions za watu!

Hata kama Diamond atakuwa ana taka kumuacha Wema lazima anaweza shindwa maana Wema ana msaidia sana kuuza muziki wake na hata uongozi wake lazima uhakikishe Wema aondoki ili kuendelea kuteka soko la Bongo!

Katika kitu kinamfanya Diamond awazidi wasanii wengine ni jinsi ya kucheza na hisia za mashabiki wake na hasa kwenye mitandao ya kijamii na hata hapa tunacho jadili ni matokeo ya Diamond na timu yake kujipanga vizuri na kuteka mitandao ya kijamii hasa Jf!

Kwakweli katika sehemu naweza kuwasifu timu ya Diamond ni uwezo wa kuteka mitandao hapa Tanzania kwa ujumla katika hili nimewakubali![/QUOTE]
 
Halafu aliyepeleka ni mama diamond mwenyew, uwiiiii watu leo lazima wameze diclopar
 
ndo ninaposhangaa,kwanza msg yenyewe ya kiswazi.kama anamthamini asingemdhalilisha vile.tushamzoea
anataka kick....while you cut your cake si uandike tu kiswahili.

Sidhani kama alimdhalilisha ila alimwambia ukweli... Mara ukweli unauma.
 
Never hide u'r feeling for someone you love most........
 
umemaliza yote niliyotaka sema.ila ndo hivyo tena bibie hado halioni.na umri ndo hivyo tena stagnant 26!!!!!!!
 
Jamani ushauri nasaha na umama Terry baadaye tusheherekee kwanza bday leo! Nani kanuna? P and K heheheheeeee simoooooo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…