mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
Wataachana tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea ukweli mtupu...
Wema ana influence sana mie nimeelewa leo..mie nampenda Wema naonaga Chibu ndie happiness yake.... wacha waendelee kututeka kama majeshi ya Al shabab vile
Am happy tu leo
if wishes were horses,,,,,,,,,,,,,,,,,...........!Wataachana tu...
if wishes were horses,,,,,,,,,,,,,,,,,...........!
halafu tunatumia Tecno na Huawei! :disapointed:
Beggars would ride...
Umeona kule,zawadi gari la pili,wenye chuki wakale ndimu leo watatipikaje?
Jamani kapewa nissani murrano na shem darling! Chezeya
ndo ninaposhangaa,kwanza msg yenyewe ya kiswazi.kama anamthamini asingemdhalilisha vile.tushamzoea
anataka kick....while you cut your cake si uandike tu kiswahili.
Safi sana hii ndo dawa ya watu wanaowish mabaya kwa wenzaoHalafu aliyepeleka ni mama diamond mwenyew, uwiiiii watu leo lazima wameze diclopar
Jamaa wanajua kutumia nafasi kufanya biashara! Yani Wema nae alitakiwa kutumia hii nafasi kujinufaisha! Kwa mfano angefungua hata Duka sidhani kama kwa siku angeweza kukosa wateja ishirini(20)
Wema sepetu kwa Tanzania ni kama brand kabisa ambayo mtu anaweza fanyia biashara lakini sijui Wema mwenyewe anafikiri nini kwenye hili?Wema akiamua kutajirika kupitia Jina lake anaweza kabisa!
Diamond na timu yake wanajua kulitumia jina la Wema kufanya biashara lakini Wema hajui kutumia Jina lake kufanya Biashara!
Sidhani kama alimdhalilisha ila alimwambia ukweli... Mara ukweli unauma.
Wataachana tu...