Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Status
Not open for further replies.
sipingani na wewe.alimwambia ukweli.lakini angwmwambia pembeni sio. instag

hapana, hukuhuku insta. ndio panafaa, mbona mameno matamu kamwambilia insta. na hakuna aliyekasirika? so kumsifia amsifie insta. kumuonya amuonyee chumbani?? hapana hapahapaaaa!!!
 
hapana, hukuhuku insta. ndio panafaa, mbona mameno matamu kamwambilia insta. na hakuna aliyekasirika? so kumsifia amsifie insta. kumuonya amuonyee chumbani?? hapana hapahapaaaa!!!
Really!Haya basi sawa...mapenzi ya dot com.hebu tusubirie episode 10000
 
Really!Haya basi sawa...mapenzi ya dot com.hebu tusubirie episode 10000

Yanayofatiaa sie yetu maskiooo yaan martin gari anayoondesha ya mkopo leo amnunulie wema huuuuu tupeni maelezo aiseee full maigizoo
 
Tuwekeeni na kadi za gari ili mtuue kabisaa leo msitubakishee isije kua gari wamekod ili kutukomeshaa maana hata.ile nyumba ya milioni 400 hatukulala aisee eti kokuhilwa
Martin katoa wapi pesa ya kununua gariii hapo ndio mmenichoshaaa aisee
Ulishasema best wanaume hakujengei nyumba wanakupangishia na kukuazima gari Siku ya birthdate.ikipitta si wanachukua.au hujui.BMW nyumba ka rent.hata parking ya hayo magari hakuna...mwe sijui unajiskiaje umelala usiku Huku ukifuatilia umedanganya jamii.dada Mtu hajapata zawadi ya harusi bado?au kaka Mtu kamsahau dadae?nyumba ile ya mil 400 walichukua sijui...hata sielewi iliishiaje mweee...ulimbukeni mzigo.tumsubiri Warumi dina..ndo itajulikana
 
Tuwekeeni na kadi za gari ili mtuue kabisaa leo msitubakishee isije kua gari wamekod ili kutukomeshaa maana hata.ile nyumba ya milioni 400 hatukulala aisee eti kokuhilwa
Martin katoa wapi pesa ya kununua gariii hapo ndio mmenichoshaaa aisee

Dina.nakeshaa...apa nna cm mbili insta na jf...cwez lala ucngz umenpaa..nijuzen uyo mala.ya wa kiume b.tom katumwa na mkongo ama ndomo..ivo tuu npate lala mie
 
Last edited by a moderator:

Mi hapa sina mbavu hiyo yote ni.maonyesho tu martin kaniacha hoii yaan uongo mtakatifuu Mrembo by Nature sijui yuko wapi akija humu ntazimiaa
 
Last edited by a moderator:
Yaan leo mi nishalazwa kabisa ICU wema katufungajee, warumi angekuwepo leo ningecheka mnoo
Ila sio tu kesho kutwa tusikie hana magarii maana Wema kwa maonyesho namkubaliii

Cwez hata kula.wema umeniweza leo.ila ni.kwa zamu tu...zam yako leo kutuzibaa
 
Dina.nakeshaa...apa nna cm mbili insta na jf...cwez lala ucngz umenpaa..nijuzen uyo mala.ya wa kiume b.tom katumwa na mkongo ama ndomo..ivo tuu npate lala mie

Lala we huyo mkongo bwana.domo wapiii...anauwezo...
 
Kwa sasa tushangae...ila angemkabidhi.kile.kijiji chake mbweni apo.ingekua sawa ila ivi vigar bila kadi??wema grow up....ukitaka weka kad ya gari nikusalimie
 
Cwez hata kula.wema umeniweza leo.ila ni.kwa zamu tu...zam yako leo kutuzibaa
Amzibe nani...Au anajizibie riziki mwenyewe maanake anaendelea Kupa promo domo.yaani anatumia Nguvu nyingi Kama za mkulima wa uyoga mwisho unaozea shambani...utoto tu.utafikiri wao wa kwanza Kuwa Kwenye mapenzi..ushamba tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…