Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Haya mwenzenu kapewa Benz kitu BMW...
Finally Wema kataja umri wake halisi.. maana bday ya mwakajuzi alidai kazaliwa mwaka 1990 teh teh
Hhhhhaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mwenzenu kapewa Benz kitu BMW...
Finally Wema kataja umri wake halisi.. maana bday ya mwakajuzi alidai kazaliwa mwaka 1990 teh teh
sipingani na wewe.alimwambia ukweli.lakini angwmwambia pembeni sio. instag
Really!Haya basi sawa...mapenzi ya dot com.hebu tusubirie episode 10000hapana, hukuhuku insta. ndio panafaa, mbona mameno matamu kamwambilia insta. na hakuna aliyekasirika? so kumsifia amsifie insta. kumuonya amuonyee chumbani?? hapana hapahapaaaa!!!
Really!Haya basi sawa...mapenzi ya dot com.hebu tusubirie episode 10000
Ulishasema best wanaume hakujengei nyumba wanakupangishia na kukuazima gari Siku ya birthdate.ikipitta si wanachukua.au hujui.BMW nyumba ka rent.hata parking ya hayo magari hakuna...mwe sijui unajiskiaje umelala usiku Huku ukifuatilia umedanganya jamii.dada Mtu hajapata zawadi ya harusi bado?au kaka Mtu kamsahau dadae?nyumba ile ya mil 400 walichukua sijui...hata sielewi iliishiaje mweee...ulimbukeni mzigo.tumsubiri Warumi dina..ndo itajulikanaTuwekeeni na kadi za gari ili mtuue kabisaa leo msitubakishee isije kua gari wamekod ili kutukomeshaa maana hata.ile nyumba ya milioni 400 hatukulala aisee eti kokuhilwa
Martin katoa wapi pesa ya kununua gariii hapo ndio mmenichoshaaa aisee
Mmhhh Labda wote ------------ tutajuaje maanake wote wake za watu.vitz to Murano..asanteeYanayofatiaa sie yetu maskiooo yaan martin gari anayoondesha ya mkopo leo amnunulie wema huuuuu tupeni maelezo aiseee full maigizoo
Tumekusikiaaa nawe utapata gari moja ile ya zamani etii
Tuwekeeni na kadi za gari ili mtuue kabisaa leo msitubakishee isije kua gari wamekod ili kutukomeshaa maana hata.ile nyumba ya milioni 400 hatukulala aisee eti kokuhilwa
Martin katoa wapi pesa ya kununua gariii hapo ndio mmenichoshaaa aisee
Ulishasema best wanaume hakujengei nyumba wanakupangishia na kukuazima gari Siku ya birthdate.ikipitta si wanachukua.au hujui.BMW nyumba ka rent.hata parking ya hayo magari hakuna...mwe sijui unajiskiaje umelala usiku Huku ukifuatilia umedanganya jamii.dada Mtu hajapata zawadi ya harusi bado?au kaka Mtu kamsahau dadae?nyumba ile ya mil 400 walichukua sijui...hata sielewi iliishiaje mweee...ulimbukeni mzigo.tumsubiri Warumi dina..ndo itajulikana
BMW wapi jack cliff.....MACAUHhhhhaaaaaa
Mi hapa sina mbavu hiyo yote ni.maonyesho tu martin kaniacha hoii yaan uongo mtakatifuu Mrembo by Nature sijui yuko wapi akija humu ntazimiaa
Yaan leo mi nishalazwa kabisa ICU wema katufungajee, warumi angekuwepo leo ningecheka mnoo
Ila sio tu kesho kutwa tusikie hana magarii maana Wema kwa maonyesho namkubaliii
Hhahaha Dina una vituko sana! Naona shigongo ameshapata front page news!
Dina.nakeshaa...apa nna cm mbili insta na jf...cwez lala ucngz umenpaa..nijuzen uyo mala.ya wa kiume b.tom katumwa na mkongo ama ndomo..ivo tuu npate lala mie
Ulishasema best wanaume hakujengei nyumba wanakupangishia na kukuazima gari Siku ya birthdate.ikipitta si wanachukua.au hujui.BMW nyumba ka rent.hata parking ya hayo magari hakuna...mwe sijui unajiskiaje umelala usiku Huku ukifuatilia umedanganya jamii.dada Mtu hajapata zawadi ya harusi bado?au kaka Mtu kamsahau dadae?nyumba ile ya mil 400 walichukua sijui...hata sielewi iliishiaje mweee...ulimbukeni mzigo.tumsubiri Warumi dina..ndo itajulikana
Cwez hata kula.wema umeniweza leo.ila ni.kwa zamu tu...zam yako leo kutuzibaa
Amzibe nani...Au anajizibie riziki mwenyewe maanake anaendelea Kupa promo domo.yaani anatumia Nguvu nyingi Kama za mkulima wa uyoga mwisho unaozea shambani...utoto tu.utafikiri wao wa kwanza Kuwa Kwenye mapenzi..ushamba tuCwez hata kula.wema umeniweza leo.ila ni.kwa zamu tu...zam yako leo kutuzibaa
Bado si amini chezea domo wewe hata genge hamfunguliiMsanii wa kwanza kumnunulia wema garii, ila hata hivyo tulimsema mno kua dai ni bahari imesaidiaa jamanii