Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Unasema hatuna kazi tunafuatilia haya makitu mahaba:what:
Teh teh teh teh teh teh. .tena s afadhal wewe una iphone. ..wenzako walchambwa na v medtek vyao kn tenco na huawei.. qwi qwi qwi qwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasema hatuna kazi tunafuatilia haya makitu mahaba:what:
Unapenda kucheka weyee
Teh teh teh teh teh teh. .tena s afadhal wewe una iphone. ..wenzako walchambwa na v medtek vyao kn tenco na huawei.. qwi qwi qwi qwi
Na hao aliwachamba mashabiki zaoo hhhaaa
Kubadili jina kwenye kadi ni shilling 50,000/= tu. Na ni process ambayo haizidi nusu saa.
Dinazarde haya Filamu imeanza huku.
Aiseeeee
Teh teh teh teh teh teh. .tena s afadhal wewe una iphone. ..wenzako walchambwa na v medtek vyao kn tenco na huawei.. qwi qwi qwi qwi
Hivii Muuza Sura hukukaribishwa kwenye birthday? Kwa data za kitaa nakuaminia sema unajifichaga sanaaa
We nae hebu nenda ukajifunze kuandika...
wakijua wewe ni mkali zaidi yao wanakupa distance!tunavimbiana tu kibishi....hao watoto wako hivi!ukimla wema ujue diamond atamind,akimind diamond ujue rommy atamind na pia petit man atamind!wana life style flani ya kipimbi sana ndo maana watoto wakiume wanaohang na wema sepetu ni wale ambao anaweza kuwacontrol na wengine kwakuwa wanamchukulia wema namna gani vipi nao wanavutishwa ngada!.....vita baridi iko kwa wenyewe kwa wenyewe!petit man ni mpambe namba moja wa wema na vilevile ni mpambe wa kavira!kavira na diamond si kivile na ndo maana hata petit man na diamond ni kichina siyo kivile sana!inshu inakuja petit man anamkaza dada diamond na diamond anamkaza tajiri wa petit man!.............ila ujue nini?hawa malaya wa mjini wanaotaka majina hawamuwezi wema sepetu!wema ana roho moja safi sana kwa watu wake wa karibu I must admit!plus maisha yake ya kuigiza
Nliowaambia washaelewa..I ignore other intruders..
As long as skukuambia wewe..nashangaa ulvyoishpbokea. HHHK ushapendwa sjui, maana naona watu wako hai hai sana
..com dis way buanaa m shtaj haya wth strangers
Hivi wewe unaelewa ulichoandika nini wasiwasi hata wewe mwenyewe
ukirudia kusoma utajiuliza ulimaanisha nini
Sio kila neno linaweza kufupishwa sijui mmesoma shule gani
Ghaakaa!! Hv we unajielewa kweli?? Mbna nliowaandkia hawajaneng'eneka iweje wewe?? Plpl usoila inakuwashia nn?? Dinazarde babe ulielewa nlchoandka na ukanijbu salute kwako. Kama wengne mlkmbia umande fanya mrud shule n div 5 ipo kwa watu msioelewa kama wewe.. npshage mie usntie jotrooo