Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Status
Not open for further replies.
BRN at work..............
Nenda shule huu muda unaoutumia JF ungekua ushajifunza kuandika vizuri

My time z none of ya concern.. wewe ndie wa kwenda shule maana hata wanavyo andka wenzako hujui kusoma. Dnt know una survive vp humu Jf...
 
Teh teh teh teh teh teh. .tena s afadhal wewe una iphone. ..wenzako walchambwa na v medtek vyao kn tenco na huawei.. qwi qwi qwi qwi

Mi mzima kan'tangaze hhhhaaaa

Na hao aliwachamba mashabiki zaoo hhhaaa

Yaan pale ndpo alpo niacha hao mieee

We nae hebu nenda ukajifunze kuandika...

I can see some Improvement.........

As long as skukuambia wewe..nashangaa ulvyoishpbokea. HHHK ushapendwa sjui, maana naona watu wako hai hai sana
..com dis way buanaa m shtaj haya wth strangers

Hahhhhaaa,ni shidaa aiseee sie yetu macho tukisikiacho tunajadilii iwe meninah tutajadili hata iwe nani,et upate presha kisa wema na chibuu mabwakuuuuu
Na wala hatuufyati kimya aisee ni funua funika

Ukisikia paa jua limekupata
kama si lako la jirani yaako.

Utahaha sana mwaka huu

Hahaaaaaaaaaaaaa alivyodhani ndivyoo jaman leo nachekaje.....

Leo itabidi ufanye sherehe kabisaa umefurah mnoo bakisa na ya keso basii

We unae ni quote unanishangaza......

Tulishamalizana na wewe long time... UNIWACHE pita vileeeeeeee

Bora ulivyojielewa na kunitoa katika post yako.. nifurahi nisifurahi ni mimi

Tuwekeeni na kadi za gari ili mtuue kabisaa leo msitubakishee isije kua gari wamekod ili kutukomeshaa maana hata.ile nyumba ya milioni 400 hatukulala aisee eti kokuhilwa
Martin katoa wapi pesa ya kununua gariii hapo ndio mmenichoshaaa aisee

Ukisikia PAA jua limekupata.. unapigwa kombora moja kama Al shabab unabaki kuweweseka.....

Hahaaaaaa mjini raha..

Hivi wewe unaelewa ulichoandika nini wasiwasi hata wewe mwenyewe
ukirudia kusoma utajiuliza ulimaanisha nini
Sio kila neno linaweza kufupishwa sijui mmesoma shule gani

Ghaakaa!! Hv we unajielewa kweli?? Mbna nliowaandkia hawajaneng'eneka iweje wewe?? Plpl usoila inakuwashia nn?? Dinazarde babe ulielewa nlchoandka na ukanijbu salute kwako. Kama wengne mlkmbia umande fanya mrud shule n div 5 ipo kwa watu msioelewa kama wewe.. npshage mie usntie jotrooo

BRN at work..............
Nenda shule huu muda unaoutumia JF ungekua ushajifunza kuandika vizuri

My time z none of ya concern.. wewe ndie wa kwenda shule maana hata wanavyo andka wenzako hujui kusoma. Dnt know una survive vp humu Jf...

I can see some improvement...,

kazana ila msiwe mnakimbia shule

Kutafuta umaarufu kwel kaz. Haya endelea mama utapata..

:cool2::cool2::cool2: :cool2::cool2::cool2: :cool2::cool2::cool2:

:thumbdown::thumbdown: 2 hell

:iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid:

Am stupid u jerk

Ni hili tu la Wema au kuna lingine?? Btw I have enjoyed the movie...bring it on ladies!!!
 
:spit::spit:

Povu lnakutoka kama unaumwa degedege..kumbe n kawaida yako kutAfuta kik kwa kuingilia ya watu ewwh.. he he heeeee, skuyajua hayo aisee. Asante mlio n PM kuwa huyu ana utindio wa ubongo, kumbe n maj kupwa na kujaa na ndio mwez mchanga huu eeh. Yerewiiiii, sorry my soul, I think u b☆tch concern on ya dosage eeh.😡😡
 
Wataje walio kuPM tuendelee kufaidi mtiti, au waambie waje uwanjani hapa.
 
Wataje walio kuPM tuendelee kufaidi mtiti, au waambie waje uwanjani hapa.

Ha ha ha ha ha. .u fun kiongozi... waktaka watakuja wenyewe.ila sdhan maana ukijbshana na aliyetoroka mirembe, wewe utaonekana umetoroka jail ya vichaa aisee. Bora yesheeeee na chiz aendelee kujiongelea peke yake
 
Povu lnakutoka kama unaumwa degedege..kumbe n kawaida yako kutAfuta kik kwa kuingilia ya watu ewwh.. he he heeeee, skuyajua hayo aisee. Asante mlio n PM kuwa huyu ana utindio wa ubongo, kumbe n maj kupwa na kujaa na ndio mwez mchanga huu eeh. Yerewiiiii, sorry my soul, I think u b☆tch concern on ya dosage eeh.😡😡

Khe nilidhani kaacha umbea kumbe bado kaona haitoshi kaja PM...............
we bibi kizee uache umbea .......... hii Movie naiendesha kwa ajili yako
nasimamia show mwanzo mwisho..nilijua ulivyonisambaza kipindi kile ungeacha
kumbe bado waendelea......... Sterling hauawi...........
 
Sasa unamwambia nan na aliyesema syo mdada n mkaka. Uuuuwiiiih naamin aslmia 100 yale nlyoskia. He he he he he he he he he he he he he kan'tangaze laa svyo ntakukalia kmya maana hata baloz wako hkujui
 
nasema hivi kaendelee kujifunza

mwambie huyo jini kitorondo alieku PM niko hapa namsubiri
 
Sasa unamwambia nan na aliyesema syo mdada n mkaka. Uuuuwiiiih naamin aslmia 100 yale nlyoskia. He he he he he he he he he he he he he kan'tangaze laa svyo ntakukalia kmya maana hata baloz wako hkujui

Mtaje.......... ni deal nae perpendicular
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom