Haya ndio CHADEMA waliyoyazungumza toka mkutano ya siasa imeanza

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Toka kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, haya ndio waliyoyazungumza CHADEMA kwa ujumla wake.

Hii ndio summary ya mikutano ya chadema na mada wanazozungumza.

Hiki chama kimeshajifia.
20230219_091033.jpg
 
View attachment 2522586
Asante sana kwa takwimu mkuu ,hiki chama kimekuwa cha hovyo sana

USSR
 
Mleta mada ulitaka wazingumzie Nini ? Maana ajenda zote hizi ni muhimu Kwa taifa na Kila ajenda itaonaongelewa Kwa utokana na muda .
Kama Kuna ajenda ambazo unaona hazijaongelewa bado Kuna muda wa kutosha wa kuongelea ajenda hizo .naamini mikutano ya nyanda za juu kusini ajenda nyingi zitazungumziwa
 
hujui siasa wewe na hujui kuwa taifa lina masuala mengi sana. Ulitaka wazungumzie jambo moja? taifa haliwezi kuwa na hoja moja, ndiyo sababu hatuna wizara moja.
 
Miaka zaidi ya 60 ya kutawaliwa na ccm,Elimu imekufa na wamefanya makusudi ili kupata kizazi chenye maono duni kama mada hii,watoto wa wateule wachache hawasomi upe wala kanumba ,hata kama haya yameletwa na wao!,royal families zitaendeleza status ago ya utawala huu maana kizazi cha middle class kimewekwa mfu, kimemezwa na ngono, soka na mada kama hizi
 
Asante sana kwa takwimu mkuu ,hiki chama kimekuwa cha hovyo sana

USSR
Hiki sio chama, ni genge la wahuni.

Nimesikia Lissu kaenda kuhuisha visa yake huko alikokua, hiyo inakupa picha kwamba hiki ni chama cha wahuni.

Hii nchi ni bora watu kama Mzee wa Ubwabwa kuliko hiki chama.
 
Toka kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, haya ndio waliyoyazungumza CHADEMA kwa ujumla wake.

Hii ndio summary ya mikutano ya chadema na mada wanazozungumza.

Hiki chama kimeshajifia.
View attachment 2522586
Waliokitabiria kifo hiki chama wengi wao wamekufa ana kupotea kwenye siasa lakini chama bado kipo hai na imara zaidi
 
hujui siasa wewe na hujui kuwa taifa lina masuala mengi sana. Ulitaka wazungumzie jambo moja? taifa haliwezi kuwa na hoja moja, ndiyo sababu hatuna wizara moja.
Masuala gani muhimu kwa taifa zaidi ya kodi, elimu, tozo, rushwa na mambo kama hayo.

Hilo taifa kutegemea watu aina ya chadema kutuletea maendeleo basi there is no hope for the future.
 
Waliokitabiria kifo hiki chama wengi wao wamekufa ana kupotea kwenye siasa lakini chama bado kipo hai na imara zaidi
Hata ambae angekisema vibaya CUF 1995-2005 na akafa miaka hiyo wafuasi wa CUF walikua wanasema hivyo hivyo lakini leo CUF iko wapi?

Chadema kufa ni jambo la muda tu.

Jambo la pili ni lazima uelewe kwamba hakuna kinachodumu milele, hata atakaekisemea mema CHADEMA bado atakufa so kufa sio mada ya msingi hapa.
 
Waliokitabiria kifo hiki chama wengi wao wamekufa ana kupotea kwenye siasa lakini chama bado kipo hai na imara zaidi
Wewe utabaki hai milele kwa kukiongelea vizuri CHADEMA? Hoja yako ni dhaifu. Kifo ni lazima wa wote, uwe CCM au upinzani. CHADEMA ya operesheni sangara sio hii ya sasa inayochechemea.
 
Tunasubiria Mzee Mtei na Makamba Sr wafariki tuwakumbushie maneno wanayoyapenda, “wazuri hawafi”.
 
Hii mada kama ni kweli, basi ni chachu kwa viongozi wa cdm kurekebisha vipaumbele vya agenda katika mikutano yake...kama wakiamua kuichukulia positively.
 
Lisu kaenda Ulaya kuhuisha Visa yake, yaani yeye focus yake ni visa na maisha ulaya.

Kuna siku nilishangaa chadema wanasifia wti watoto wa Lisu wako Marekani wanasoma maisha poa, chadema wanasifia kabisa. Hapo ndio nikajua hiki sio chama ni genge la wahuni.
 
Toka kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, haya ndio waliyoyazungumza CHADEMA kwa ujumla wake.

Hii ndio summary ya mikutano ya chadema na mada wanazozungumza.

Hiki chama kimeshajifia.
View attachment 2522586
🤣🤣🤣🤣Hata utawala wa awamu ya tano ulidai unakiua CDM eventually kila mtu anajua nn kilifuata!!!
 
Mleta mada ulitaka wazingumzie Nini ? Maana ajenda zote hizi ni muhimu Kwa taifa na Kila ajenda itaonaongelewa Kwa utokana na muda .
Kama Kuna ajenda ambazo unaona hazijaongelewa bado Kuna muda wa kutosha wa kuongelea ajenda hizo .naamini mikutano ya nyanda za juu kusini ajenda nyingi zitazungumziwa
Agenda za makovu ya risasi?

USSR
 
Back
Top Bottom