Haya ndio CHADEMA waliyoyazungumza toka mkutano ya siasa imeanza

Haya ndio CHADEMA waliyoyazungumza toka mkutano ya siasa imeanza

Masuala gani muhimu kwa taifa zaidi ya kodi, elimu, tozo, rushwa na mambo kama hayo.

Hilo taifa kutegemea watu aina ya chadema kutuletea maendeleo basi there is no hope for the future.
kama hujaona masuala waliyozungumzia ndiyo shida kuu ya nchi hii basi una matatizo makubwa. Una elimu tu lakini intelligence huna.
 
Toka kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, haya ndio waliyoyazungumza CHADEMA kwa ujumla wake.

Hii ndio summary ya mikutano ya chadema na mada wanazozungumza.

Hiki chama kimeshajifia.
View attachment 2522586
Kwa hiyo awm5 haikuwa na changamoto,kwahiyo yaliyozungumzwa hayagusi maisha hata yako mwana chukua chako mapema 🤔,ama unahofu ya wao kuvuruga utaratibu wa chukua chako mapema 🤔.Pia binafsi nina mashaka na jina hilo sijui the Assassin 😂
 
Hiki sio chama, ni genge la wahuni.

Nimesikia Lissu kaenda kuhuisha visa yake huko alikokua, hiyo inakupa picha kwamba hiki ni chama cha wahuni.

Hii nchi ni bora watu kama Mzee wa Ubwabwa kuliko hiki chama.

Huu ni utafiti kwa mujibu wa sukuma gang, Msoga gang ama?
 
Back
Top Bottom