The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Asante sana kwa takwimu mkuu ,hiki chama kimekuwa cha hovyo sanaToka kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, haya ndio waliyoyazungumza CHADEMA kwa ujumla wake.
Hii ndio summary ya mikutano ya chadema na mada wanazozungumza.
Hiki chama kimeshajifia.
View attachment 2522586
hujui siasa wewe na hujui kuwa taifa lina masuala mengi sana. Ulitaka wazungumzie jambo moja? taifa haliwezi kuwa na hoja moja, ndiyo sababu hatuna wizara moja.Toka kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, haya ndio waliyoyazungumza CHADEMA kwa ujumla wake.
Hii ndio summary ya mikutano ya chadema na mada wanazozungumza.
Hiki chama kimeshajifia.
View attachment 2522586
Hiki sio chama, ni genge la wahuni.Asante sana kwa takwimu mkuu ,hiki chama kimekuwa cha hovyo sana
USSR
Waliokitabiria kifo hiki chama wengi wao wamekufa ana kupotea kwenye siasa lakini chama bado kipo hai na imara zaidiToka kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, haya ndio waliyoyazungumza CHADEMA kwa ujumla wake.
Hii ndio summary ya mikutano ya chadema na mada wanazozungumza.
Hiki chama kimeshajifia.
View attachment 2522586
Masuala gani muhimu kwa taifa zaidi ya kodi, elimu, tozo, rushwa na mambo kama hayo.hujui siasa wewe na hujui kuwa taifa lina masuala mengi sana. Ulitaka wazungumzie jambo moja? taifa haliwezi kuwa na hoja moja, ndiyo sababu hatuna wizara moja.
Hata ambae angekisema vibaya CUF 1995-2005 na akafa miaka hiyo wafuasi wa CUF walikua wanasema hivyo hivyo lakini leo CUF iko wapi?Waliokitabiria kifo hiki chama wengi wao wamekufa ana kupotea kwenye siasa lakini chama bado kipo hai na imara zaidi
Hiki sio chama. Ni genge la wahuni.Chama cha Mbowe ni laana kwa taifa.
Wewe utabaki hai milele kwa kukiongelea vizuri CHADEMA? Hoja yako ni dhaifu. Kifo ni lazima wa wote, uwe CCM au upinzani. CHADEMA ya operesheni sangara sio hii ya sasa inayochechemea.Waliokitabiria kifo hiki chama wengi wao wamekufa ana kupotea kwenye siasa lakini chama bado kipo hai na imara zaidi
Lisu kaenda Ulaya kuhuisha Visa yake, yaani yeye focus yake ni visa na maisha ulaya.Hii mada kama ni kweli, basi ni chachu kwa viongozi wa cdm kurekebisha vipaumbele vya agenda katika mikutano yake...kama wakiamua kuichukulia positively.
🤣🤣🤣🤣Hata utawala wa awamu ya tano ulidai unakiua CDM eventually kila mtu anajua nn kilifuata!!!Toka kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, haya ndio waliyoyazungumza CHADEMA kwa ujumla wake.
Hii ndio summary ya mikutano ya chadema na mada wanazozungumza.
Hiki chama kimeshajifia.
View attachment 2522586
Agenda za makovu ya risasi?Mleta mada ulitaka wazingumzie Nini ? Maana ajenda zote hizi ni muhimu Kwa taifa na Kila ajenda itaonaongelewa Kwa utokana na muda .
Kama Kuna ajenda ambazo unaona hazijaongelewa bado Kuna muda wa kutosha wa kuongelea ajenda hizo .naamini mikutano ya nyanda za juu kusini ajenda nyingi zitazungumziwa