Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Feb 19, 2023 #21 The Assassin said: Masuala gani muhimu kwa taifa zaidi ya kodi, elimu, tozo, rushwa na mambo kama hayo. Hilo taifa kutegemea watu aina ya chadema kutuletea maendeleo basi there is no hope for the future. Click to expand... kama hujaona masuala waliyozungumzia ndiyo shida kuu ya nchi hii basi una matatizo makubwa. Una elimu tu lakini intelligence huna.
The Assassin said: Masuala gani muhimu kwa taifa zaidi ya kodi, elimu, tozo, rushwa na mambo kama hayo. Hilo taifa kutegemea watu aina ya chadema kutuletea maendeleo basi there is no hope for the future. Click to expand... kama hujaona masuala waliyozungumzia ndiyo shida kuu ya nchi hii basi una matatizo makubwa. Una elimu tu lakini intelligence huna.
Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 6,053 Reaction score 10,032 Feb 19, 2023 #22 Dadek
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 9,748 Reaction score 26,238 Feb 19, 2023 #23 Mbona ushoga hujaweka?
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Feb 19, 2023 #24 The Assassin said: Toka kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, haya ndio waliyoyazungumza CHADEMA kwa ujumla wake. Hii ndio summary ya mikutano ya chadema na mada wanazozungumza. Hiki chama kimeshajifia. View attachment 2522586 Click to expand... Kwa hiyo awm5 haikuwa na changamoto,kwahiyo yaliyozungumzwa hayagusi maisha hata yako mwana chukua chako mapema 🤔,ama unahofu ya wao kuvuruga utaratibu wa chukua chako mapema 🤔.Pia binafsi nina mashaka na jina hilo sijui the Assassin 😂
The Assassin said: Toka kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, haya ndio waliyoyazungumza CHADEMA kwa ujumla wake. Hii ndio summary ya mikutano ya chadema na mada wanazozungumza. Hiki chama kimeshajifia. View attachment 2522586 Click to expand... Kwa hiyo awm5 haikuwa na changamoto,kwahiyo yaliyozungumzwa hayagusi maisha hata yako mwana chukua chako mapema 🤔,ama unahofu ya wao kuvuruga utaratibu wa chukua chako mapema 🤔.Pia binafsi nina mashaka na jina hilo sijui the Assassin 😂
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Feb 19, 2023 #25 The Assassin said: Hiki sio chama, ni genge la wahuni. Nimesikia Lissu kaenda kuhuisha visa yake huko alikokua, hiyo inakupa picha kwamba hiki ni chama cha wahuni. Hii nchi ni bora watu kama Mzee wa Ubwabwa kuliko hiki chama. Click to expand... Huu ni utafiti kwa mujibu wa sukuma gang, Msoga gang ama?
The Assassin said: Hiki sio chama, ni genge la wahuni. Nimesikia Lissu kaenda kuhuisha visa yake huko alikokua, hiyo inakupa picha kwamba hiki ni chama cha wahuni. Hii nchi ni bora watu kama Mzee wa Ubwabwa kuliko hiki chama. Click to expand... Huu ni utafiti kwa mujibu wa sukuma gang, Msoga gang ama?