Haya ndio machimbo ya bidhaa Kariakoo

Naomba chimbo la nguo mpya za watoto (pensi, suruali,gauni nk) kuanzia mwaka 1 - 4.
 
Mkuu naomba chimbo la mayebo yebo haya ya kisasa na za watoto
 
 
naomba chimbo la vifaa vya ujenzi(hasa kwenye finishing ya vyooni na jikoni)
 
Chimbo la viatu vaya oficin vaya ngozi kma hivi
 

Attachments

  • Screenshot_20241118-081617.png
    1.6 MB · Views: 12
  • Screenshot_20241118-080724.png
    2 MB · Views: 9
  • Screenshot_20241117-020514.png
    869.2 KB · Views: 13
Spare za pikipiki na Bajaj zinapatikana chimbo gami
 
Kitabu cha Machimbo ya biashara (Tsh 15,000):

Kina namba za simu 600 za machimbo yenye bidhaa za jumla na rejareja bei nafuu.
Kuna hadi machimbo ya wachina yaliyo jificha kariakoo yenye bei nafuu sana.
Watafute kwa whatsapp: 0612607426 au wapigie 0687746471
 
Chukua machimbo ya biashara ukafanye biashara (Namba za simu 600 za machimbo na location zake)!

KINAUZWA
Kitabu cha Machimbo ya Biashara
Kitabu chenye machimbo 600 ya biashara kwa TSH 15,000 tu!

Kitabu hiki kina namba za simu 600 za wauzaji wa bidhaa kwa bei nafuu, jumla na rejareja.

Jinsi ya kukipata WHATSAPP: 0612607426
CALL: 0687746471

Unaweza kupakua kitabu hiki kupitia link hii:

Kwa msaada wa kupakua, wasiliana kupitia:
WhatsApp: 0612607426
Call: 0687746471

Kitabu kina sura 68 kama ifuatavyo:

Sura ya 1 hadi 5: Machimbo ya nguo za watoto, vifaa vya ofisini (stationery), vifaa vya ujenzi (hardware), dawa (pharmacy), na vinywaji.

Sura ya 6 hadi 10: Kahawa, maremba, vifaa vya mazoezi, miwani, na nywele bandia kama rasta na wigs.

Sura ya 11 hadi 20: Shati za shifoni, viatu, kofia, gauni za usiku, vitambaa vya masofa, hereni na cheni, vyombo vya jikoni, na vifaa vya michezo.

Sura ya 21 hadi 30: Pajamas, balo za mitumba, masweta, maturubai, pipi, jeans, jezi, na vifaa vya kufungashia.

Sura ya 31 hadi 40: Toys, T-shirts, diaper, bidhaa za supermarket, manukato, madera, mitandio, abaya, hijabu, na vitenge.

Sura ya 41 hadi 50: Khanga, vitambaa vya kushona, vipodozi, nguo za watoto, pochi, vifaa vya simu, mikeka, bidhaa za wachina, na sufuria sets.

Sura ya 51 hadi 60: Chupa za maji, midoli, lubricants za magari, maduvets, mashuka, mapazia, majora ya mapazia, T-shirts zinazotrend, na bidhaa za ubuyu wa Zanzibar.

Sura ya 61 hadi 68: Maua artificial, pipi, vifaa vya masofa, bidhaa za mitumba, vifaa vya kuandaa keki, na bidhaa kutoka kwa wachina moja kwa moja.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…