Haya ndio madhara ya kuvaa mikanda ya kupunguza tumbo [Waist trainer belt]

Haya ndio madhara ya kuvaa mikanda ya kupunguza tumbo [Waist trainer belt]


Wengi wanaovaa naona wanakuwa na kiuno kidogo hivyo figure 8 kuonekana vizuri zaidi.
Niliwahi vaa siku moja nilihisi pumzi zinabana na tumbo kuuma nimeuhifadhi nasikilizia
 
Hustling zote izo ni kwaajiri ya kutuvutia wanaume,,, Imbombo ngaf eroo
 
Komenti yako haijanifurahisha

It is impossible....

Wanawake ndo wanaipendezesha dunia

Hakuna dunia bila wanawake

Napenda sana wanawake....
Sure kabisa wanawake Ni pambo la dunia

Wasipokuwepo Hali itakuwa mbaya
 
Back
Top Bottom