Haya ndio madhara ya kuvaa mikanda ya kupunguza tumbo [Waist trainer belt]

Haya ndio madhara ya kuvaa mikanda ya kupunguza tumbo [Waist trainer belt]

Shida yote hii ni sisi wanaume tunaileta.

Wakati mwingine nafikiria ni kama hatujui tunachotaka hasa. Mkeo au demu wako akiwa slim ("english figure "), unachepuka na mibonge/" Bantu"......kama mweusi /chocolate, unatamani weupe na vice versa.

Kuna jamaa yangu mmoja alitamani ati aonje tu "zeruzeru"! Jamaa mwingine nilimkuta sehemu akawa anasimulia namna anavyopenda viwete......nikashangaa sana!

Haturidhiki kabisa. Labda tumeumbwa hivyo? Not sure.
 
Tabu zote hizi Wanawake wanapitia ili tu kumfurahisha Mwanaume.
Imeandikwa hivi, "mwanamke ni utukufu wa Mwanaume"
 
Mi siku nilipomuona mfanyakazi mwenzangu wa kiume kavaa ilo dude, nilichoka.

Ile anakaa, nadhani ukikaa linabana sana, akanyanyua shati akafungua ile bandika bandua, mara ya kwanza nilidhani bullet proof vest.
 
Back
Top Bottom