Haya Ndio Maelezo Aliyotoa Mange Kimambi Kuhusu Tatizo La Msanii Kabula!

nitarudi dar 2020 hio ndo kauli mbiu ya ...
 
Chizi akichukua taulo lako endelea kuoga unapomkimbiza matokeo ndio haya!
 
Kwani chizi mpaka aokote makopo?
let's say "sio chizi ana act"

ila mjue kuwa kuna chizi na mtu aliechanganyikiwa...
mtu aliechanganykiwa wamejaa mjini wengi sanaa
ikiwemo yeye Mange...na sidhani kama kuna mtu hajawahi kuchanganyikiwa katika jambo lolote lile ,sema tu hali huwaga sio endelevu unachanganyikiwa kwa dakika kadhaa tu au lisaa(kwa nfano umepotelewa na kitu cha thamani kama Gari limeibiwa unaanza kutafuta kwenye mfuko wa suruali)

mimi nmewahi kuwa na best yangu alichanganyikiwa mpaka leo anatumia dozi zao hizo,
ni kwamba anavaa vizuri anajipanba kabisa lakini maongez yake hayaeleweki....
siku aloanza kuchanganyikiwa alikujaga home akatukana sana yani anakua kama mtu alievuta bangi lakini wala hajavuta kila kitu kwake yeye kikimtuma ni sawa.

tukapeleka muhimbili wakampima kama anatumia madawa,Au pombe lakini wapi hakuna kitu. Basi wakampa dawa anatumia hadi leo katulia huwezi kudhani.

kwahiyo yawezekana hata huyu dada anaweza kuwa kachanganyikiwa au la.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa hana kazi za kufanya huyu ?

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…