Haya Ndio Maelezo Aliyotoa Mange Kimambi Kuhusu Tatizo La Msanii Kabula!

Tatizo la hawa madada zetu wa kibongo ni kwamba hawajitambui. Walizoea kutunzwa kwa pesa za wizi walizokuwa wanahongwa na midume uchwara isiyojiambua, mtu utampangiaje changudoa nyumba ikiwa wewe mwenyewe wazazi wako hawana nyumba huko kijijini? Inawezekan huyu ana-act tu ili apate kujikongoja aanze tena mbwembwe zake. Hata siku moja kichaa hawezi kwenda kwenye media kujitambulisha kuwa yeye kichaa.
 
Nikweli kachanganyikiwa hayuko sawa
Anaeweza kumsaidia amsaidie ackataze watu kutoa Msaada
Mrembo km huyu hawezi kujifanyisha kachanganyikiwa kwa shida? hapana huyu amepata matatizo hayuko vizur Mungu amsaidie arudi ktk hali yke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama ongea na mwanao inafanya kazi mwingine ni naye haaishi kuwa hospital pressure juu kila leo ss mama anaongea na wanae mtulie tuli mchukue maagizo
 
Mange akili kubwa si chizi ila anawapata na kuwapaka machizi kiukweli kweli.Tuko mbioni kukutafutia nishani ya unenaji na ukweli,Kwani kwenye anga za kuangaza mambo makuu kuu makubwa nakupa BIG UP ! nakukubali sana kwa ujasiri Mange.Uko vizuri mtoto wa Kipare uzao wako uko juu.Songa mbele Tanzania ya Magu inakumulika haikuoni wala hakupati.Uko kila kona za usiri ndani ya TZ,Una wengi nyuma yako wanaokukubali usitishike wape vibonzo vyao !
 
Walidhani Mjini unaishi kilelemama watadata wengi mwaka huu
 
Duh! Yaani Mange anamwita mwenzake malaya aliechina na wakati sioni tofauti zao, kweli kuhukumu ni kazi rahisi sana
 
Huyu Mange kasema anachokiamini kazi ni kwenu sasa kumpeleka kumpeleka Kabula milembe au aje shamba tulime.

mafisadi hayana rangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…