Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Basi mjadala umefungwa mpaka hapo atakapo tengua kauli yake..Wow....Mange keshasema 😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi mjadala umefungwa mpaka hapo atakapo tengua kauli yake..Wow....Mange keshasema 😀😀
Huwa hana kazi za kufanya huyu ?
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Nikweli kachanganyikiwa hayuko sawaKwani chizi mpaka aokote makopo?
let's say "sio chizi ana act"
ila mjue kuwa kuna chizi na mtu aliechanganyikiwa...
mtu aliechanganykiwa wamejaa mjini wengi sanaa
ikiwemo yeye Mange...na sidhani kama kuna mtu hajawahi kuchanganyikiwa katika jambo lolote lile ,sema tu hali huwaga sio endelevu unachanganyikiwa kwa dakika kadhaa tu au lisaa(kwa nfano umepotelewa na kitu cha thamani kama Gari limeibiwa unaanza kutafuta kwenye mfuko wa suruali)
mimi nmewahi kuwa na best yangu alichanganyikiwa mpaka leo anatumia dozi zao hizo,
ni kwamba anavaa vizuri anajipanba kabisa lakini maongez yake hayaeleweki....
siku aloanza kuchanganyikiwa alikujaga home akatukana sana yani anakua kama mtu alievuta bangi lakini wala hajavuta kila kitu kwake yeye kikimtuma ni sawa.
tukapeleka muhimbili wakampima kama anatumia madawa,Au pombe lakini wapi hakuna kitu. Basi wakampa dawa anatumia hadi leo katulia huwezi kudhani.
kwahiyo yawezekana hata huyu dada anaweza kuwa kachanganyikiwa au la.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooooo!!!Huyu alikuwa mke wa mr Nice, now unganisha dots. Ajikubali ale ARV maisha yanaendelea.
hahahaha case closed!!!!!!!!!!!!!!!Wow....Mange keshasema 😀😀
KKKHHHAAAAAAA....!!!!!!!!Bila kupepesa maelezo mwana mama Mange Kimambi amefunguka haya kuhusu tatizo la kiafya la msanii "Kabula"![]()
![]()
![]()
-Ndumilakuwili-
Walidhani Mjini unaishi kilelemama watadata wengi mwaka huuNikweli kachanganyikiwa hayuko sawa
Anaeweza kumsaidia amsaidie ackataze watu kutoa Msaada
Mrembo km huyu hawezi kujifanyisha kachanganyikiwa kwa shida? hapana huyu amepata matatizo hayuko vizur Mungu amsaidie arudi ktk hali yke
Sent using Jamii Forums mobile app