Haya ndio magari chaguo langu

Kwa nini? Tupe Elimu mdau
mkuu unasubiri elimu kutoka kwa maskini aliejikatia tamaa?

iko hivi ukiona mtu anakuambia gari fulani inazingua jua yeye mfuko wake ndio unazingua wabongo tunaunga unga sana mambo nissan hazihitaji ubahili na kikizingua kitu toa funga kipya asikutishe mtu hakuna gari mbaya wala inayozungua kama inafanyiwa sevisi vizuri kingine kinachotuangusha ni mafundi nao hawaendi na wakati hawajifunzi mambo mapya kwahyo kuna changamoto kwao kutojua namna ya kurekebisha gari za kisasa
 
Nakubaliana na wewe kwa [emoji817].
 
1. Nissan Qashqai
2. Nissan X-Trail ya 2014
3. Honda CR-V
4. Hyundai Tucson
5. KIA Sportage
6. KIA Sorento
7. Mazda CX-5

Nitapambana mpaka nilitie mkononi gari moja.
Hii listi ulitakiwa uanze no 7 ndio iwe moja kushuka chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…