Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Mfano gari gani hilo lisilo na spare?Wenzako walisema hivyo saivi kutwa kutupigia simu kila siku kutuuliza kama jamaa zetu wa Nairobi wameshapata spare zao maana magari yapo garage miezi mitatu sasa. Tatizo lenu wabongo wabishi.