Haya ndio magari chaguo langu

Umeongea hoja kabisa. Humu mitaandaoni kuna kutishana kusiko na sababu na mwingine anakupa ushauri kumbe kasikia tu mahali, hana uzoefu wowote.. Nilishwa kuhusu Nissan .. Ninayo mwaka wa nne, service naweza fanya nikikumbuka haizidi mara mbili kwa mwaka , na nadunda nayo vizuri.... Fuata gari ya ndoto yako usisikilize maneno ya mtaani.
 
✊✊
 
1. Nissan Qashqai
2. Nissan X-Trail ya 2014
3. Honda CR-V
4. Hyundai Tucson
5. KIA Sportage
6. KIA Sorento
7. Mazda CX-5

Nitapambana mpaka nilitie mkononi gari moja.
Una jicho na matanio yanayofanana na yangu boss japo tunapishana kwenye mipangalio

Kwangu Mazda CX 5 na Honda CR-V zingekaa juu kabisa kwenye list

Mazda CX 5 ina muonekano wa kipekee sana ukipitia Review huko YouTube wakenya wanasema imshakuwa Uniform ya vijana kwa CrossOver SUV

Hata kitu kinaitwa reliability Mazda siku hizi anawaacha mbali sana akina Mitsubishi na Outlander yake

Siku milango ikifunguka lazima nitembelee hii chuma hasa generation ya pili kuanzia toleo la 2017
 
 

Attachments

  • 89d8f28231210f88cd06df978ff55314.jpg
    68.3 KB · Views: 12
  • 3e8b8d83979924b699dbcd14caa6dcd8.jpg
    172.8 KB · Views: 9
  • 64cd671e7964e03e302b3f34e77cc3dd.jpg
    159.1 KB · Views: 11
1. Nissan Qashqai
2. Nissan X-Trail ya 2014
3. Honda CR-V
4. Hyundai Tucson
5. KIA Sportage
6. KIA Sorento
7. Mazda CX-5

Nitapambana mpaka nilitie mkononi gari moja.

Kila la kheri...jipange tu kwenye bajeti ya service
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…