Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 753
- 1,699
Salam Wakuu,
Muliro ametoa statement leo akisema wao walimkamata Heche na Mnyika pekee na kwamba hawahusiki kwa wengine waliokamatwa na kuteswa.
Wanachama wamehojiwa wakiwa wamepigwa na kuumizwa vibaya, kwamba wanatuambia walijiteka wenyewe na kujipiga?
Siku ile ya kesi ya Lissu nilikuwa na shughuli zangu mjini, ambako kati ya picha nilizopata ni hii gari iliyokuwa imebeba polisi bila ya kuwa na plate number!
Nilipiga mstari moja kwa moja kwamba huenda ukishikwa na hizi gari huenda ndio umepotea kabisa au utakanwa hukukamatwa na polisi! Na hiki ndio kimetokea polisi wanasema walikamata watu wawili pekee.
Hii inamaanisha hiki ndio konachofanyika, wanang'oa plate ili justification ya kutesa na pengine kuua ipatikane! Utaambiwa haikuwa na plate yetu kwahiyo hao siyo sisi!
Halafu watu wakianza kuchomwa moto na kurushiwa mawe mnajifanya hamuelewi wakati nyie wenyewe ndio mnachangia wananchi kuanza kulipiza visasi. Muda si mrefu mtaiona hasira ya wananchi, endeeleni tu kutufanya manyani!