PreGE2025 Haya ndio magari wanatumia kusubilia watu ili baadaye waje kusema siyo wao?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Salam Wakuu,

Muliro ametoa statement leo akisema wao walimkamata Heche na Mnyika pekee na kwamba hawahusiki kwa wengine waliokamatwa na kuteswa.

Wanachama wamehojiwa wakiwa wamepigwa na kuumizwa vibaya, kwamba wanatuambia walijiteka wenyewe na kujipiga?

Siku ile ya kesi ya Lissu nilikuwa na shughuli zangu mjini, ambako kati ya picha nilizopata ni hii gari iliyokuwa imebeba polisi bila ya kuwa na plate number!

Nilipiga mstari moja kwa moja kwamba huenda ukishikwa na hizi gari huenda ndio umepotea kabisa au utakanwa hukukamatwa na polisi! Na hiki ndio kimetokea polisi wanasema walikamata watu wawili pekee.

Hii inamaanisha hiki ndio konachofanyika, wanang'oa plate ili justification ya kutesa na pengine kuua ipatikane! Utaambiwa haikuwa na plate yetu kwahiyo hao siyo sisi!

View attachment 3318840

Halafu watu wakianza kuchomwa moto na kurushiwa mawe mnajifanya hamuelewi wakati nyie wenyewe ndio mnachangia wananchi kuanza kulipiza visasi. Muda si mrefu mtaiona hasira ya wananchi, endeeleni tu kutufanya manyani!
Ninapowaita Polisi majambazi yanayovaa uniform mnielewe.
 
Mimi naona wananchi wafanye kama walivyoua wale watekaji ambao walikuja kuwa "masked" kama maafisa wa TRA baada ya zoezi la utekaji kufeli.

Kama polisi wameshindwa kulinda watu badala yake wanaanza kuwawinda basi watu watumie haki yao kujilinda kwa kutumia njia zozote.
 
Salam Wakuu,

Muliro ametoa statement leo akisema wao walimkamata Heche na Mnyika pekee na kwamba hawahusiki kwa wengine waliokamatwa na kuteswa.

Wanachama wamehojiwa wakiwa wamepigwa na kuumizwa vibaya, kwamba wanatuambia walijiteka wenyewe na kujipiga?

Siku ile ya kesi ya Lissu nilikuwa na shughuli zangu mjini, ambako kati ya picha nilizopata ni hii gari iliyokuwa imebeba polisi bila ya kuwa na plate number!

Nilipiga mstari moja kwa moja kwamba huenda ukishikwa na hizi gari huenda ndio umepotea kabisa au utakanwa hukukamatwa na polisi! Na hiki ndio kimetokea polisi wanasema walikamata watu wawili pekee.

Hii inamaanisha hiki ndio konachofanyika, wanang'oa plate ili justification ya kutesa na pengine kuua ipatikane! Utaambiwa haikuwa na plate yetu kwahiyo hao siyo sisi!

View attachment 3318840

Halafu watu wakianza kuchomwa moto na kurushiwa mawe mnajifanya hamuelewi wakati nyie wenyewe ndio mnachangia wananchi kuanza kulipiza visasi. Muda si mrefu mtaiona hasira ya wananchi, endeeleni tu kutufanya manyani!
Mtapika Kila aina habari; mtapakia Kila aina ya picha; mtamtoa Kila aina ya tusi; mtanena Kila neno la dhihaka dhidi ya mama wa watu, lakini kamwe alilolipanga Mungu kwa mja wake halitoweza kupanguliwa na binadamu tu mwenye chuki zake na wivu.
 
View: https://www.instagram.com/p/DI_4YPrN6DM/?img_index=3&igsh=MWkyeTR0dTZra2ZtbA==
 
Huyu mama wakati anaokota embe dodo kwenye mti wa mwarobaini, kwa kiasi fulani nilifikiri anaweza akaleta utofauti kwenye utawala wake. Kadiri siku zinavyozidi kwenda, naona hali imekuwa ni tofauti kabisa.
 
Mtapika Kila aina habari; mtapakia Kila aina ya picha; mtamtoa Kila aina ya tusi; mtanena Kila neno la dhihaka dhidi ya mama wa watu, lakini kamwe alilolipanga Mungu kwa mja wake halitoweza kupanguliwa na binadamu tu mwenye chuki zake na wivu.
JPM alionywa hivi hivi hakusikia, hii dunia tunapita tu. Ukiona mpaka viongozi wa dini wanakulilia ujue ndio last chance.
 
Itakuwa last chance kama hawamlilii kinafiki.......natamani nione amri iliyotolewa na viongozi hao hao wakati wa JPM au Mkapa, ile inayosemwa kimamlaka, "Waachiwe mara Moja bila masharti" au "Kasoro lazima zikarekebishwe kabla ya uchaguzi".

Kumbukumbu zangu zinaniambia vipindi hivyo Kasoro zilikuwepo tu; watu walipigwa risasi na wengine walikimbia nchi kabisa lkn TEC kimyaaa. Chaguzi za 2019 na 2020 zililalamikiwa sana lakini TEC kimyaaa....hakuna hata command Moja. Vp Sasa?!!!!!!! Kuna kitu.
 
Imefika wakati upinzani ukodi snipers kumalizana na mmoja mmoja nadhani wakipata hofu hawatorudia kufuata amri batili. Yaani univunje mguu kisa kwenda kortini? Los pepes ilifanya kazi Colombia na hata Mexico yaani una inflict hofu kwa adui yako kupitia parallel justice
Hii ndiyo dawa! CHADEMA kukaa wanalialia haisaidii watamalizwa!
 
Polisi kufanya kazi kwa kificho ni dhahiri wanafanya matendo ya Kihalifu kwa kinga ya watawala.
 
Salam Wakuu,

Muliro ametoa statement leo akisema wao walimkamata Heche na Mnyika pekee na kwamba hawahusiki kwa wengine waliokamatwa na kuteswa.

Wanachama wamehojiwa wakiwa wamepigwa na kuumizwa vibaya, kwamba wanatuambia walijiteka wenyewe na kujipiga?

Siku ile ya kesi ya Lissu nilikuwa na shughuli zangu mjini, ambako kati ya picha nilizopata ni hii gari iliyokuwa imebeba polisi bila ya kuwa na plate number!

Nilipiga mstari moja kwa moja kwamba huenda ukishikwa na hizi gari huenda ndio umepotea kabisa au utakanwa hukukamatwa na polisi! Na hiki ndio kimetokea polisi wanasema walikamata watu wawili pekee.

Hii inamaanisha hiki ndio konachofanyika, wanang'oa plate ili justification ya kutesa na pengine kuua ipatikane! Utaambiwa haikuwa na plate yetu kwahiyo hao siyo sisi!

View attachment 3318840

Halafu watu wakianza kuchomwa moto na kurushiwa mawe mnajifanya hamuelewi wakati nyie wenyewe ndio mnachangia wananchi kuanza kulipiza visasi. Muda si mrefu mtaiona hasira ya wananchi, endeeleni tu kutufanya manyani!
Zole gari siyo Toyota
 
Itakuwa last chance kama hawamlilii kinafiki.......natamani nione amri iliyotolewa na viongozi hao hao wakati wa JPM au Mkapa, ile inayosemwa kimamlaka, "Waachiwe mara Moja bila masharti" au "Kasoro lazima zikarekebishwe kabla ya uchaguzi".

Kumbukumbu zangu zinaniambia vipindi hivyo Kasoro zilikuwepo tu; watu walipigwa risasi na wengine walikimbia nchi kabisa lkn TEC kimyaaa. Chaguzi za 2019 na 2020 zililalamikiwa sana lakini TEC kimyaaa....hakuna hata command Moja. Vp Sasa?!!!!!!! Kuna kitu.
Kwanini unapotosha? Hivi kitima ulikua humsikii akipinga rafu za uchaguzi enzi za JPM? Umesahau Ask. Niwemugizi akaitwa sio raia kisa kusema JPM anaminya uhuru?

Hata Dk.Shoo alikosoa sana siasa za JPM sijui kwanini mnajitoa ufahamu.
 
Naomba unielewe mkuu, mi nataka nione ule ung'ang'anizi wa lazima kitu flani kifanyike na zile kauli za kimamlaka kama, "watolewe mara Moja na bila masharti!". Halafu kesho na keshokutwa zinarudiwa tena kauli kama hizo tena kumaanisha kuwa zimemaanishwa.....hiko ndo nataka nione na sio ule ukosoaji wa juu juu wa kufunika kombe mwanaharamu apite.
 
Kuna mdau mmoja niliwahi mwambia ccm ni breeding ya ukomunisti wa pale china au korea alinibishia sana. Haya mambo ni common sana kwa communist regimes.
Korea kaskaxini na china hawana unafiki kama Tanzania, wao wamejipambanua kabisa kuwa ni wa chama kimoja na na dunia iwaelewe hivyo.
 
Ni wazi kwamba sasa tunayo serikali inayofanya uhalifu.
Ni vema kwa raia na wanasiasa wa upinzani kujua hili na kutafuta njia za kujihami na genge hili la uhalifu.

Ushahidi wa picha ni muhimu sana.

CHADEMA ni lazima sasa wawe na silaha ya Kamera katika mikutano yao yote na kwenye matukio yoyote ya mikusanyiko. Ni lazima wawe na ulinzi maalum wa kuchukua ushahidi bila kuonekana dhahiri
 
Korea kaskaxini na china hawana unafiki kama Tanzania, wao wamejipambanua kabisa kuwa ni wa chama kimoja na na dunia iwaelewe hivyo.
Kuna tofauti kubwa ya wao na sisi.

Wakati wao vyama vyao ni kwa maslahi ya nchi zao; sisi hapa tunampigania mtu mmoja, SAMIA kubaki madarakani.

Sasa hivi siyo swala tena la kuipigania CCM; bali ni kuhakikisha Samia anaendelea baada ya Oktoba.
 
Imefika wakati upinzani ukodi snipers kumalizana na mmoja mmoja nadhani wakipata hofu hawatorudia kufuata amri batili. Yaani univunje mguu kisa kwenda kortini? Los pepes ilifanya kazi Colombia na hata Mexico yaani una inflict hofu kwa adui yako kupitia parallel justice
Hawa hapa kwetu wanafanya wanayofanya kwa kujuwa kuwa yale ya Colombia au Mexico hayawezi kutokea hapa. Wana kiburi sana hawa wa hapa.
La kusikitisha ni kwamba sasa ipo wazi kwamba wanafanya yote haya kumpigania mtu mmoja tu abaki madarakani, Samia. Sasa wala siyo swala la CCM tena kubaki madarakani; ni Samia kuendelea kushika kiti, na ndiye atairudisha CCM madarakani.
 
Naomba unielewe mkuu, mi nataka nione ule ung'ang'anizi wa lazima kitu flani kifanyike na zile kauli za kimamlaka kama, "watolewe mara Moja na bila masharti!". Halafu kesho na keshokutwa zinarudiwa tena kauli kama hizo tena kumaanisha kuwa zimemaanishwa.....hiko ndo nataka nione na sio ule ukosoaji wa juu juu wa kufunika kombe mwanaharamu apite.
Utakuwa una matatizo ya kipekee sana!
Unapwa ushahidi, bado unaukataa, mpaka uwe kama unavyotaka wewe!
 
Back
Top Bottom