Kama Watu wamekamatwa Kisutu, wakipigwa tukiona kwenye Vyombo vya habari, wakibebwa kwenye Magari ya Police wakivuja Damu tukiona kwenye Vyombo vya habari...!
Na Leo Kamanda anaruka waziwazi kwamba sio wao, kwani waaogopa Nini!? Nilidhani wao hawaogopi lolote, kumbe ni Waoga tu.
Lakini kama tulioyana Kwa macho kupitia Vyombo vya habari yakikanushwa, najiuliza vipi Kwa wale wanaopotea kimya kimya, then Mashuhuda wakasema tu "Walikuja watu na Bunduki wakajitamburisha ni Police" wataweza kukubari kuwashikilia hao Watu...!
Kwa hiki kinachoendelea, wale Vijana wa Chadema kama kina Soka, Sina hakika na jina lake......!
Fanyeni tu Matanga.