PreGE2025 Haya ndio magari wanatumia kusubilia watu ili baadaye waje kusema siyo wao?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tii sheria bila shuruti vinginevyo hizo ni mbinu za kazi ukiingia kwenye anga zao lazima ushughulikiwe
 
We bwege huwezi kuwa wananchi, mbn hujawarushia mawe umeishia kupiga picha? Halafu picha yenyewe feki.
Sisi wananchi tunafurahia uwepo wa jeshi la polisi kila mahali na tunawapongeza. We ni mhalifu ndio maana unalalamikia uwepi wa jeshi
 
K Kwa jinsi unavyowashwa siyo miguu we utavunjwa kiuno. Mbn hujitokezi umebaki kubwabwaja humu JF?
 

Tumefikia mahali watu wanathamini vyeo ,pesa na madaraka kuliko binadamu .

Hovi kwa nini wasingeandamana Kuelekea bungeni kupinga bunge kufungwa kabla ya marekebisho ya sheria ya uchaguzi ?
Yaani kuna mambo ni vigumu kuyajadili maana No refoms no Election inaleta amsha amsha tu lakini hatua zake ni zinafeli namna ya kujipanga.
Lakini pia Tone tone imepangwa bila kuhamasisha wanaachama kulipia ada zao . Ukiwa na wanachama mil. mbili walilipia ada zao ni wazi utapata bil. 4. Kwa mikutano yote waliozunguka wangekua wamekusanya ada za wanachama hata laki tano ambayo ni bil.1 .

Hizi harakati bila pesa ni ngumu sana kufanyika . Mfano watu kusafiri kutoka hata Chalinze kwenda Dodoma ni vigumu .

Hawa watu ni ama kuwatafutia watu wa kuwaloga kwa ukweli kwa gharama kubwa hata Kongo na Nigeria au kuandamana kwa wingi sana . Yaani kwa surprise wanajikuta watu wameingia kwa kasi kubwa na kuingia ndani ya jengo la Bunge
 
Ukiona mtu away yote anakana ukweli ulio wazi mchana kweupe Tena bila aibu jua huyo ni jambazi/killer
 
K
Kwa jinsi unavyowashwa siyo miguu we utavunjwa kiuno. Mbn hujitokezi umebaki kubwabwaja humu JF?
Wapi nimesema tujitokeze? Nimesema watafute snipers tumalizane nao mmoja mmoja. Unadhani hawa polisi wa Tanzania wakidunguliwa mmoja mmoja hawatoogopa? Huu sio muda wa kuchekeana tena ni tit for tat. Tujifunze Kenya kila polisi aliyeua muandamanaji wali deal naye mmoja mmoja ndio maana wanaheshimiana.
 
Na Askofu Dr. Bagonza pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…