DM PLUS
New Member
- Nov 6, 2023
- 3
- 1
😂😂😂Nimecheka mpaka nimepaliwa na whisky hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Nimecheka mpaka nimepaliwa na whisky hapa.
Hebu msikilizeni vizuri Lissu akizungumza akiwa huko Zanzibar na mnitajie hao Waccm nani awezaye kujibu hoja hizi.
View: https://youtu.be/zk98B6MXN2E?si=MLLBR5OW1i1vXJb5
Zote hizo takataka tu huyo mwingine ndo aliokotwa majalalani!L
Hakuna hapo. Labda kwa mbali Prof Kabudi kwa sababu na yeye anaijua vizuri historia kama Tundu Lissu
Hao wengine vilaza tu
Aoe kwanzaKafulila sijui kwanini CCM haimtumii huyu jamaa nakumbuka wakati wa JPM alininyooshea balaa huyu mwehu
Ni huyo namba moja tu, ndiyo angalau atamsumbua kidogo, japo naye hamuwezi. Lakini hao wengine wawili ni weupe kama karatasi.Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
SawaPole pole ni hatari mkuu anajua kujenga hoja. Hayo majina 3 ni hakika
Ungesema hakuna kitu gani?Hakuna kitu hapo
Ni Prof Palamagamba Kabudi, wengine wataanza yale mambo ya "mother dead father dead now job"...Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Kafulila na KabudiNi Prof Palamagamba Kabudi, wengine wataanza yale mambo ya "mother dead father dead now job"...
Polepole si wa sheriani wa Business admistration and Kafulila sijui ni wa nini, labda uchumi.
Prof Palamagamba Kabudi ni wa sheria, atamfaa sana.
Lissu hawezekani kwa yeyote yule kwa sababu anachokiongea ni Logic !Kakafulila kajanjajanja katammaliza kabisa huyu Lissu kwa hoja
Lissu hana logic yoyote huyoLissu hawezekani kwa yeyote yule kwa sababu anachokiongea ni Logic !
Logic haiwezi kuwa Crushed na maneno ya uongo uongo ya kisiasa siasa !
Ni lazima watakao kuja kujibu hoja zake nao waongee Logic !!
Vinginevyo wataishia kutukana tu !! 🙏🙏 !
Ajibiwe basi watu tupime nani anasema kweli. !Lissu hana logic yoyote huyo
Kafulila Hana confidence tena. Njaa NI mbaya sanaLissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Yaani we live in a time where intelligent people are being silenced ? ?!! 🙄😷 !Lissu apewe ubalozi uko atulie, atasumbua sana, Mama afanye hivyo tu
Labda Kabudi tuuuu.......hapo NikubalieLissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Jaji Warema akiwa AGMpaka leo sijui ni kiongozi gani aliyempachika a.k.a ya tumbili.
Hivi 2025 nani atatoka CCM na kujiunga upinzani kugombea Urais?Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Watu wakweli Duniani ni wachache sana na wakijulikana wanakuwa na maadui wengi sana !Kafulila Hana confidence tena. Njaa NI mbaya sana