Pre GE2025 Haya ndio majina matatu ya wanachama wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua akimwaga mboga anamwaga ugali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.

Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.

Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.

1. Prof Palamagamba Kabudi

2. Hamprey Polepole

3. David Kafulila
Ni huyo namba moja tu, ndiyo angalau atamsumbua kidogo, japo naye hamuwezi. Lakini hao wengine wawili ni weupe kama karatasi.

Ova
 
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.

Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.

Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.

1. Prof Palamagamba Kabudi

2. Hamprey Polepole

3. David Kafulila
Ni Prof Palamagamba Kabudi, wengine wataanza yale mambo ya "mother dead father dead now job"...
Polepole si wa sheriani wa Business admistration and Kafulila sijui ni wa nini, labda uchumi.
Prof Palamagamba Kabudi ni wa sheria, atamfaa sana.
 
Kafulila na Kabudi
 
Kakafulila kajanjajanja katammaliza kabisa huyu Lissu kwa hoja
Lissu hawezekani kwa yeyote yule kwa sababu anachokiongea ni Logic !

Logic haiwezi kuwa Crushed na maneno ya uongo uongo ya kisiasa siasa !

Ni lazima watakao kuja kujibu hoja zake nao waongee Logic !!
Vinginevyo wataishia kutukana tu !! 🙏🙏 !
 
Lissu hana logic yoyote huyo
 
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.

Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.

Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.

1. Prof Palamagamba Kabudi

2. Hamprey Polepole

3. David Kafulila
Kafulila Hana confidence tena. Njaa NI mbaya sana
 
Labda Kabudi tuuuu.......hapo Nikubalie
 
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.

Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.

Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.

1. Prof Palamagamba Kabudi

2. Hamprey Polepole

3. David Kafulila
Hivi 2025 nani atatoka CCM na kujiunga upinzani kugombea Urais?
 
Kafulila Hana confidence tena. Njaa NI mbaya sana
Watu wakweli Duniani ni wachache sana na wakijulikana wanakuwa na maadui wengi sana !

Kwa sababu watu wengi wanaishi kwa kutumia uongo uongo !!
 
Ila mjue kutetea uongo uwe kweli si jambo rahisi kabisa. Mpaka Kabudi ajipange Sana Na utu uzima ule kuwa Muongo anazidi kupoteza status yake Kwenye Jamii
Hasara ya kutembea na Magufuli anavyotaka ameiona mwenyewe
 
Back
Top Bottom