Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wanyakyusa
4. Wahaya
5. Wapare
6. Wasukuma
7. Wameru
8. Wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
Aisee daah kuna kabila moja hapo naonaga kama watu na nna bahati nao, sijui labda wanaviburi kweli ila siwez kuwasemea kwakweli
 
Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wanyakyusa
4. Wahaya
5. Wapare
6. Wasukuma
7. Wameru
8. Wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
Dada zetu Wanyakyusa unawasingizia mkuu.
Hapo kwenye Wapare rekebisha maana Wapare hawana taabu, tabu ipo kwa binamu zao Wagweno.... Anakufanyia kiburi na kukupiga juju in combination
 
Mwanaume mwenzangu okopa sana kabila ambalo mwanamke anaruhusiwa kuchinja kuku. Na yeyw mwenyewe wala haogopi.
Wachaga na wameru
Kuna siku nilikuta watu wanasubiri mchinja kuku hakuja nikawauliza kwani Kuna mtu mwingine anakuja kula Hawa kuku si sisi wanafamilia tu wakasema ni sisi tu .Nikashika shingo faster nikakata nikaweka maji ya moto.Loo familia wakaa kikao kaka yao asinioe tena mchagga wapi yeye mwenyewe aliwambia naweza chinjwa vilevile hata kama sijao.Tupo sasa miaka kibao na hatuna shida wasiwasi wenu tu.
 
Naomba namba ya huyo kaka nimuulize nisikie upande wake wa magumu unayompitisha. Nyie watu ni moto fire
 
WAMERU MNAWAKOSEA SANA,kwa Tanzania hii hakuna wanawake wenye viburi kama wameru,HAKUNA YAANI HAKUNA NUMBER 1 MPKA TATU NI WAMERU
🤣🤣🤣miamba sana hawa
hawana chembe ya unyonge
ukiweka nayeye anaweka
wamba sana hawa dada za nasari🤣
alamaleko wadada wore wa kimeru
 
Back
Top Bottom