mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Wakurya kweli nimeshuhudia mkurya mmoja mtaani kwetu ni jeuri/kiburi/dharau akiamua kufanya jambo huna cha kumtisha,mpige aina zote za vipondo,mpige hata na mapanga mwenzako wala hashtukiMkurya anashika namba 1 mpaka 10 wengine ni kawaida tu kila mwanadamu anayo ile 'ego' mnasema
Waha ni asili tu ya ubishi lakini wana nidhamu ya hali ya juu na ni wachapa kazi.TOA wasukuma ongeza Waha
Aisee daah kuna kabila moja hapo naonaga kama watu na nna bahati nao, sijui labda wanaviburi kweli ila siwez kuwasemea kwakweliKuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wanyakyusa
4. Wahaya
5. Wapare
6. Wasukuma
7. Wameru
8. Wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
Dada zetu Wanyakyusa unawasingizia mkuu.Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wanyakyusa
4. Wahaya
5. Wapare
6. Wasukuma
7. Wameru
8. Wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
Nadhani unawaongelea ndagafijoAisee daah kuna kabila moja hapo naonaga kama watu na nna bahati nao, sijui labda wanaviburi kweli ila siwez kuwasemea kwakweli
😂😂😂 aisee, kwanini umewachagua wao tu masta,Nadhani unawaongelea ndagafijo
Nawafahamu fijoo 😂😂😂😂 aisee, kwanini umewachagua wao tu masta,
😂😂😂😂😂😂😂 we jamaa bwanaNawafahamu fijoo 😂
Ukipata pisi ya Kinyaki umepata mali 😂😂😂😂😂😂😂😂 we jamaa bwana
Aisee acha kabisaaUkipata pisi ya Kinyaki umepata mali 😂
Pia bora umpate Mmachame kuliko Mmeru😀
Ha ha haWana dharau Kwa wanaume wafupi tu
Kuna siku nilikuta watu wanasubiri mchinja kuku hakuja nikawauliza kwani Kuna mtu mwingine anakuja kula Hawa kuku si sisi wanafamilia tu wakasema ni sisi tu .Nikashika shingo faster nikakata nikaweka maji ya moto.Loo familia wakaa kikao kaka yao asinioe tena mchagga wapi yeye mwenyewe aliwambia naweza chinjwa vilevile hata kama sijao.Tupo sasa miaka kibao na hatuna shida wasiwasi wenu tu.Mwanaume mwenzangu okopa sana kabila ambalo mwanamke anaruhusiwa kuchinja kuku. Na yeyw mwenyewe wala haogopi.
Wachaga na wameru
Naomba namba ya huyo kaka nimuulize nisikie upande wake wa magumu unayompitisha. Nyie watu ni moto fireKuna siku nilikuta watu wanasubiri mchinja kuku hakuja nikawauliza kwani Kuna mtu mwingine anakuja kula Hawa kuku si sisi wanafamilia tu wakasema ni sisi tu .Nikashika shingo faster nikakata nikaweka maji ya moto.Loo familia wakaa kikao kaka yao asinioe tena mchagga wapi yeye mwenyewe aliwambia naweza chinjwa vilevile hata kama sijao.Tupo sasa miaka kibao na hatuna shida wasiwasi wenu tu.
🤣🤣🤣ngoma ngumu hiiNaomba namba ya huyo kaka nimuulize nisikie upande wake wa magumu unayompitisha. Nyie watu ni moto fire
hii ndo inakuwaje mkuu unaweza kufafanuaset conditions mapema kabisa la sivyo utendeshwa sana
🤣🤣🤣miamba sana hawaWAMERU MNAWAKOSEA SANA,kwa Tanzania hii hakuna wanawake wenye viburi kama wameru,HAKUNA YAANI HAKUNA NUMBER 1 MPKA TATU NI WAMERU
wasukuma wa wapi hao maana hawa wamesambaa karibia nchi nzima na hata huko kwao wamegawanyika kimikoa-mwanza geita shy tabora kote uko wapo hata moroWasukuma ni wastaarabu
daah kuna jamaa yangu alipita na msukuma yule dada ana mtaco na nusu ila sasa daah embu niishie apaMbona ndo visu vimo humo? Si mnataka makalio? Hayo.makabila ndo wana nyama nyama...