Tafuta hela uache kuwalaumu watu mkuu.Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1.Wachaga
2.wakurya
3.wanyakyusa
4.wahaya
5.wapare
6.wasukuma
7.wameru
8.wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
Sio wanyachu wale wa kyela weka mbali na watoto. Na ndio walio wazur. Hawa wengine wana sura za baba zao.Namba 2 hapo walipaswa kukaa wanyakyusa. Wakurya umewaonea japo siwajui vyema.
Wanawake wa kinyakyusa tunawamudu sie wanyaki wenzao. Au lah bas uwe umeishi na hii jamii ukaijua vizuri.
Tofauti yao na wachaga ni kwamba, wanawake wa kinyaki hawapo after mali , wao wana ile pride tu ya kutopenda kunyanyaswaa. Yan ukiwa na manzi / mke wa kinyaki, kwanza lazima uwe na asili ya ubabe wewe kama mwanaume , hii ni kwa emergency but just dont mistreat them, utaishi nao kwa amani na utulivu... dont mistreat a nyaki lady hutaona shida ila usipooze sanaaa akajua wewe ni fala, atakunyoosha..ni wababe sana wanawake wa kinyaki ila sio wakatili kama wanawake wa kichanga. Tofauti nyingine licha ya ujeuri wa hawa ma she toka mbeya, asilimia kubwa ni wife material na wanajua mapenzi na wana manners ukiwa mudu sio kama wachaga.
Wanyakyusa mnapenda sana kutawala wanaume
Ndo nakwambia kuna wanangu wameoa Wanyaki wanaendeshwa na wake zaoSidhani[emoji3]
Ndo nakwambia kuna wanangu wameoa Wanyaki wanaendeshwa na wake zao
Ukitembelea familia za Kinyaki unakuta mke ana sauti kuliko mume
Wanawake wa Kinyaki ujuaji mwingi
Hv kumbe kuchinja kuku mwanamke sio vizuriMwanaume mwenzangu okopa sana kabila ambalo mwanamke anaruhusiwa kuchinja kuku. Na yeyw mwenyewe wala haogopi.
Wachaga na wameru
Umewasahau wajita mkuu.Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1.Wachaga
2.wakurya
3.wanyakyusa
4.wahaya
5.wapare
6.wasukuma
7.wameru
8.wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
Weeeh hatuachiii🤣🤣🤣Hv kumbe kuchinja kuku mwanamke sio vizuri
Nitaacha 😅😅
Hawajui kweli,ni viburi hatariHuwajui vizuri mkuu
Eti nimgongee jirani njoo unichinjie kuku subutuuuu mwishowe aombe pajaWeeeh hatuachiii🤣🤣🤣
Hawana cha afadhali ni viburi sanawasukuma mbona si sana sema Walezi wao ndio mtiti
Tunamchinja na kumla kuku kama hatumjui🤣🤣Eti nimgongee jirani njoo unichinjie kuku subutuuuu mwishowe aombe paja
Mpaka mifupa 😋Tunamchinja na kumla kuku kama hatumjui🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti nimgongee jirani njoo unichinjie kuku subutuuuu mwishowe aombe paja
Kiaisili mwanamke ni mleta uhai duniani na sio mtoa uhai. Sasa ukiona mwanamke anaweza kutoa uhai wa kitu basi hata kwa binaadam ni hivo. Ndio maana matukio yanayofanywa na Wachaga kwa wanaume yanasikitishaHv kumbe kuchinja kuku mwanamke sio vizuri
Nitaacha 😅😅