Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1.Wachaga
2.wakurya
3.wanyakyusa
4.wahaya
5.wapare
6.wasukuma
7.wameru
8.wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
Tafuta hela uache kuwalaumu watu mkuu.
 
Namba 2 hapo walipaswa kukaa wanyakyusa. Wakurya umewaonea japo siwajui vyema.

Wanawake wa kinyakyusa tunawamudu sie wanyaki wenzao. Au lah bas uwe umeishi na hii jamii ukaijua vizuri.

Tofauti yao na wachaga ni kwamba, wanawake wa kinyaki hawapo after mali , wao wana ile pride tu ya kutopenda kunyanyaswaa. Yan ukiwa na manzi / mke wa kinyaki, kwanza lazima uwe na asili ya ubabe wewe kama mwanaume , hii ni kwa emergency but just dont mistreat them, utaishi nao kwa amani na utulivu... dont mistreat a nyaki lady hutaona shida ila usipooze sanaaa akajua wewe ni fala, atakunyoosha..ni wababe sana wanawake wa kinyaki ila sio wakatili kama wanawake wa kichanga. Tofauti nyingine licha ya ujeuri wa hawa ma she toka mbeya, asilimia kubwa ni wife material na wanajua mapenzi na wana manners ukiwa mudu sio kama wachaga.
Sio wanyachu wale wa kyela weka mbali na watoto. Na ndio walio wazur. Hawa wengine wana sura za baba zao.
 
Back
Top Bottom