Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

Nina demu wang wa sasa wa Kijaluo, Yani ni shida ana kibur + jeuri kwenda mbele
 
Matatizo haya wanakuwa nayo vijana wa Dar tu, hivi mtu unayejitambua unakuwa na akili gani kuoa haya makabila tajwa hapo juu? Pia kuna Wazaramu na Wakwere, hawa watu kuoa ni shida mno.
 
Utafiti tupe
 
Ndoa zipo kuwanyoosha kweli....maji mtaita mma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…